Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Street view dar
4F86FEFB-AC16-43DE-B3A6-8AEA3A7D3191.jpeg
 
Robo wakat west inaonekana vzr[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji116][emoji116][emoji116] aliepiga picha hii ndio alieonesha uhalisia wa nairobi
Picha moja imekusanya takataka zoteView attachment 964364
At least hiyo imeleta only CBD, Upperhill na Westy. Lakini hii hapa is whole of Dar plus its waters
tapatalk_1544481303494.jpeg
 
Kenya wapo wanapiga safari. Sema tu badala ya siku saba 7 wamefanya kuwa 5, sio mbaya wanakusanya watalii.

Kiukweli Kenya wako mbali ktk mengi, hata kama ni kujigamba waacheni maana ni haki yao.
Sure.
 
Ehehehe nioneshe ni jengo gani la CBd halipo kwenye hio picha ukipata nitag[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
UON tower haiko
Afya Center haiko
Anniversary towers haiko
Buzzar plaza haiko
KEMU towers haiko
Pensioners tower haiko
Hazina haiko
Nation Center haiko

Plus many.
 
Picha moja iliopigwa karibu sana na majengo imekalisha jiji lote la nairobi 😂😂😂😂😂😂😂👏👏👏👏👏 alaf wanataka kushindana na dar muna safari ndefu sana
8CF8A056-AB5C-4669-B0A0-BA65F1DCBB03.jpeg
 
UON tower haiko
Afya Center haiko
Anniversary towers haiko
Buzzar plaza haiko
KEMU towers haiko
Pensioners tower haiko
Hazina haiko
Nation Center haiko

Plus many.

Umeona haziko????😂😂😂😂😂
 
Asante endelea kuokota na picha za google useme dar😂😂😂😂😂👏👏👏👏
 
http://www.au-pida.org/view-project/200/
Paper hiyo imetoka Sept 2018 in the making..
Dar es Salaam ya 2025 itakuwa ni moto sana in terms of infrastructures which is good
Cheki hilo expressway
-BRT 2,3 & 4 Hizi zitabadili sura ya city center kabisa maana zitaoccupy almost asilimia 90 ya barabara zote za katikati ya mji cheki map
-The development of Msimbazi Basin.
-Daraja jipya la Salendar Bridge.
- Interchange ya Ubungo.
- Barabara ya Dar es Salaam- Kibaha.
-The Airport City.
...........
Asante Rais Magufuli asante Rais Mstaafu Kikwete Asante Watanzania Asante Africa Asante Dunia.
 
Eti the whole dar [emoji3][emoji3][emoji3] umeanza kuchanganyikiwa
Imepigwa umbali gani mpaka mawingu yanaonekana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
What do you mean by mawingu yanaonekana? Cause hata hii pia mawingu. yanaonekana
87a05d9ca1721e953f217f08ab1e819b.jpeg
 
http://www.au-pida.org/view-project/200/
Paper hiyo imetoka Sept 2018 in the making..
Dar es Salaam ya 2025 itakuwa ni moto sana in terms of infrastructures which is good
Cheki hilo expressway
-BRT 2,3 & 4 Hizi zitabadili sura ya city center kabisa maana zitaoccupy almost asilimia 90 ya barabara zote za katikati ya mji cheki map
-The development of Msimbazi Basin.
-Daraja jipya la Salendar Bridge.
- Interchange ya Ubungo.
- Barabara ya Dar es Salaam- Kibaha.
-The Airport City
...........
Asante Rais Magufuli asante Rais Mstaafu Kikwete Asante Watanzania Asante Africa Asante Dunia.
http://www.au-pida.org/view-project/200/
Paper hiyo imetoka Sept 2018 in the making..
Dar es Salaam ya 2025 itakuwa ni moto sana in terms of infrastructures which is good
Cheki hilo expressway
-BRT 2,3 & 4 Hizi zitabadili sura ya city center kabisa maana zitaoccupy almost asilimia 90 ya barabara zote za katikati ya mji cheki map
-The development of Msimbazi Basin.
-Daraja jipya la Salendar Bridge.
- Interchange ya Ubungo.
- Barabara ya Dar es Salaam- Kibaha.
-The Airport City.
...........
Asante Rais Magufuli asante Rais Mstaafu Kikwete Asante Watanzania Asante Africa Asante Dunia.

nimesahau SGR na Station zake hatari
 
Yani 2020 hutaona sura ya mkenya humu ndani😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom