Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kakupa mukuru kayaba za dar..ziko km kumi hko si ajabu..hebu wacha nizichekiView attachment 964685View attachment 964686
Ukizoom ukaona slum hapo nitag πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mzungu sio mjinga hakupeleka satellite juu kwa kutumia multri trillion dollar alaf awe mjinga asione kua hio ni slum πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ yani aone za nairobi asione hio πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Ukizoom ukaona slum hapo nitag mzungu sio mjinga hakupeleka satellite juu kwa kutumia multri trillion dollar alaf awe mjinga asione kua hio ni slum yani aone za nairobi asione hio
Au picha ndio imepigwa kwa umbali sana...hzo ni mansions na ma flats..yani hatari..hayo si mabati..ni reflection ya jua kw camera..

Meanwhile on the ground
3233304341_519bd494fc_z.jpg
 
Wanahabari watakuwa wamemnukuu vibaya raisi..au we waonaje
Wasikosee vingine wakosee hio tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwan unafkiri KTN na hawa wengine hapa walikoseaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Leta any article talking about the distance ama any link.
Ushahidi wa kutoka kwenye hilo jengo linaloonekana tena still bado linaonekana limepigwa mbali sana huaminiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
lol..this kind of stupidity is alarming. How can someone fail to understand first black female?
jinga kabisa! Siwezi endelea kubishana na kilaza.
Mi ichoboy huaga ywan keep busy humu ndani...huaga nacheka sana anavyo reply na kuruka ruka...sai hlo aliko amevu mpka shati majasho yakimtiririka kw ajili ya kenya....

Anyway...ichoboy..umeshani entertain vya kutosha..moro niko free nitaku quote ndio uniqoute nisome utumbo wako..
 
Back
Top Bottom