Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

But big up to him, kama si yeye hii thread ingeshaisha kitambo. Anataka kujibu every comment amekam across.
Ako desperate sana...wenzake nikm wamemchoka..ila wanamuogopa..wataletewa link za kwamba ukimpinga yeye si uzalendo
 
mbeya
1544547388113.png

kakuma refugee camp
1544547425356.png
 
Mi ichoboy huaga ywan keep busy humu ndani...huaga nacheka sana anavyo reply na kuruka ruka...sai hlo aliko amevu mpka shati majasho yakimtiririka kw ajili ya kenya....

Anyway...ichoboy..umeshani entertain vya kutosha..moro niko free nitaku quote ndio uniqoute nisome utumbo wako..
Katika wakenya hua wanaandika utumbo na hua wanaumia sana wakwanza nafkiri ni wewe 😂😂😂😂 ukweli wa sasa kusibdana na tanzania ni sawa na kukimbiza kivuli chako mwenyewe na bahat nzuri sana safari hii mumekutana na fundi atawanyoosha bado ana 7 good yrs😁😁
 
Katika wakenya hua wanaandika utumbo na hua wanaumia sana wakwanza nafkiri ni wewe 😂😂😂😂 ukweli wa sasa kusibdana na tanzania ni sawa na kukimbiza kivuli chako mwenyewe na bahat nzuri sana safari hii mumekutana na fundi atawanyoosha bado ana 7 good yrs😁😁
hahahahahahhahaa nani anashindana na tz?
1.nai vs ?
2.dar vs mombasa
3.kisumu vs ?
4.Nakuru vs ?
5.Eldoret vs ?
6.Thika vs Mwanza
7.Kisii vs Arusha
8.kakamega vs ?
9.Nyeri vs ?
10.Meru vs ?
11.Kericho vs ?
12.Bungoma vs ?
13.Machakos vs ?
14.Malindi vs ?
15.Keroka vs Iringa
16.Karatina vs Tanga
17.Juja vs Moshi
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.300.Kakuma vs Mbeya
 
Mombasa andaeni pesa zenu kwa vijana wetu plz😂😂👏👏👏👏👇👇👇


 
hahahahahahhahaa nani anashindana na tz?
1.nai vs ?
2.dar vs mombasa
3.kisumu vs ?
4.Nakuru vs ?
5.Eldoret vs ?
6.Thika vs Mwanza
7.Kisii vs Arusha
8.kakamega vs ?
9.Nyeri vs ?
10.Meru vs ?
11.Kericho vs ?
12.Bungoma vs ?
13.Machakos vs ?
14.Malindi vs ?
15.Keroka vs Iringa
16.Karatina vs Tanga
17.Juja vs Moshi
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.300.Kakuma vs Mbeya

Ukiwa na hazba kubwa sana😂😂👏👏
Yani kama donge limekukaa kwenye koo
Taja miji 10 unayoamini kenya na mm nitaje 10 ya tanzania alf tuanze kazi nasubiria😁😁😁😁
 
hhahahahahahahahahahhahahhaha buda kakuma vs mbeya ..moshi naipea karatina ..dodoma naipea isiolo

Taja miji kumi unayoiamini na mm nitaje yetu 10 alaf tuingie mzigoni nikubake vzr 😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom