Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tanzania ipo juu sana kwa majiji kuliko Kenya maanake Tanzania kuja Majiji kama Dar Es Salaam, Mbeya, Arusha, Tanga na Mwanza jiji lingine upcoming ni Dodoma makao makuu ya Serikali na Chama sasa Kenya wana majiji mangapi hadi waje hapa kufanya battle na Tanzania
 
Battle ni nyinyi mlianzisha
 
mbeya, Tanga nazo ni majiji???? Just on Paper......
 
Kenya Ni Ndogo sana kuliko Tanzania yani hizo compare wanazozifanya Ni sawa Na kuchukua Arusha,Mwanza,Dar, Kilimanjaro mbeya Na Morogoro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…