Godwin Gen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2017
- 1,309
- 2,277
πππWatu wameshapiga pesa wameshakwenda ulaya kula bata wameacha nchi ina madeni mpaka matakoni πππππ
πππWatu wameshapiga pesa wameshakwenda ulaya kula bata wameacha nchi ina madeni mpaka matakoni πππππ
Shida za Wabongo ni ubishi. Sisi Kama Wakenya tunawasaidia kuwapa upeo wa jinsi Miji inastahili kuwa. Sisi wenyewa hatujafika lakini tuko mbele yenu. Hivi mngesikiza kisha mpeleke uzushi kwa serikali yenu ilifanye mambo kama Kenya mngepiga hatua kutoka LDC. LAKINI SIKIO LA KUFA HALISIKII DAWA, WALA HALINA KAFARA.
MFANO, TAZAMA JIJI LA NAIROBI LILIVYO PANGWA, JE DAR IS SLUM KUNA SEHEMU ILIYOPANGIKA HIVI!? ANGALIA STREETS.
View attachment 963898
So unajitetea au???ππππ slums ni zaidi ya informal settlemta na mbaya zaidi slums za nairobi ziko kwenye worse slums kumbuka hvo, informal settlements zinaweza zikwa nyumba haziko kwenye mpangilio lakini ni nyumba nzuri na huduma zote za muhimu kwa binaadamu zikawepoThis is a city in Europe. It is not always easy to provide for all. Even Singapore has Rooftop slums. Sometimes slums are called informal settlements. Especially in Nairobi Kenya.
View attachment 964035View attachment 964036
Really!!? Kweli nyinyi mna shida
View attachment 964040
Eti real life. Unajua maana ya real life?? Hivi wewe huwa mshamba ajab. Kuishi vijijini kwingi. Wewe hata Dar umefika kweli!? Unapanik unakimbia na vipicha hujui hata vya wapi.In depth, this is how your 'planned' CBD looks like in real life
View attachment 963992View attachment 963994
Shida za Wabongo ni ubishi. Sisi Kama Wakenya tunawasaidia kuwapa upeo wa jinsi Miji inastahili kuwa. Sisi wenyewa hatujafika lakini tuko mbele yenu. Hivi mngesikiza kisha mpeleke uzushi kwa serikali yenu ilifanye mambo kama Kenya mngepiga hatua kutoka LDC. LAKINI SIKIO LA KUFA HALISIKII DAWA, WALA HALINA KAFARA.
MFANO, TAZAMA JIJI LA NAIROBI LILIVYO PANGWA, JE DAR IS SLUM KUNA SEHEMU ILIYOPANGIKA HIVI!? ANGALIA STREETS.
View attachment 963898
πππππππππππππππ
HUONI MPANGILIO MKUU AU UNAJITIA UPOFU?πππππππππππππππ
Sasa wewe unamaana gani!?
When was the last one plotted and any link please?aka little mogadishu, where all terrorists activities are plotted
πππ Slum EstateTHIS ESTATE IN NAKURU IS BIGGER THAN TANGATANGA "CITY"
View attachment 963991
MKUU VIPI KUNA STAND ZA MABASI MEGA CITY NAI? WAITE NA WENZAKOπππππππππππππππ
Sasa wewe unamaana gani!?
This is the slumSlum Estate
LETA STAND ZA KENYA LEO SIBADILISHI MADAThis is the slumView attachment 964065
πππππ yani mpaka nimeogopaπππ Slum Estate
Zoom utuoneshe slum hapo ππππpicha imepigwa zaidi ya km 25ππππThis is the slumView attachment 964065
Thats perfect Dar ranging from high rising building and at the centre part is low rising building or residential areas ulitaka ionekane vipi sasa?This is the slumView attachment 964065
Kibera is government land. It does not belong to the people living there. A small part belongs to the Nubians. It was started by colonialist as an informal settlement for workers. That is why no one cares to make something permanent.So unajitetea au???ππππ slums ni zaidi ya informal settlemta na mbaya zaidi slums za nairobi ziko kwenye worse slums kumbuka hvo, informal settlements zinaweza zikwa nyumba haziko kwenye mpangilio lakini ni nyumba nzuri na huduma zote za muhimu kwa binaadamu zikawepo