Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yeah. typing error, nlikua namaanisha stendi ya mabasi
HAKUNAGA AISEE🙂🙂🙂🙂 HII NDO THE BEST

Home » Counties » Most Common Bus Stations in Nairobi: Matatu stages, terminus

Most Common Bus Stations in Nairobi: Matatu stages, terminus
OCTOBER 26, 2017 EMMANUEL CHACHA COUNTIES
Being a densely populated city, Nairobi CBD has well-packed bus stations, terminus which may be confusing in terms of location and the destinations of their buses. Below are the most common bus stations in Nairobi city.

Most Common Bus Stations in Nairobi: Matatu stages, terminus | Kenyayote


Most-Common-Bus-Stations-in-Nairobi-Matatu-stages-terminus.jpg
 
Shida za Wabongo ni ubishi. Sisi Kama Wakenya tunawasaidia kuwapa upeo wa jinsi Miji inastahili kuwa. Sisi wenyewa hatujafika lakini tuko mbele yenu. Hivi mngesikiza kisha mpeleke uzushi kwa serikali yenu ilifanye mambo kama Kenya mngepiga hatua kutoka LDC. LAKINI SIKIO LA KUFA HALISIKII DAWA, WALA HALINA KAFARA.

MFANO, TAZAMA JIJI LA NAIROBI LILIVYO PANGWA, JE DAR IS SLUM KUNA SEHEMU ILIYOPANGIKA HIVI!? ANGALIA STREETS.
View attachment 963898
B75C409E-D7D5-4819-B008-B4724807FAA1.jpeg
 
wakenya mpaka leo bado wanajadili masuala yao kwa vigezo vya ukabila. smh
IMG_20181211_094503.jpeg
 
Muulize swali dogo nairobi ingekua imepangwa isingekua na na slums zinazotishia dunia 😂😂
This is a city in Europe. It is not always easy to provide for all. Even Singapore has Rooftop slums. Sometimes slums are called informal settlements. Especially in Nairobi Kenya.
IMG_20181211_080852.jpg
IMG_20181211_080858.jpg
 
Back
Top Bottom