COLLOH-MZII RELOADED
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 7,544
- 3,131
Ata na Akili yako tiamu ya kuzaliwa..Lami ilijengwa 1950's inaeza kaa hadi sai...juzi tu serikali imemaliza kilomita 600 hadi moyale.Weka datas hapa wakati Muzungu anakabidhi nchi kwa Mkenya, aliacha kilometa ngapi za barabara kulinganisha na leo hii!
Ata na Akili yako tiamu ya kuzaliwa..Lami ilijengwa 1950's inaeza kaa hadi sai...juzi tu serikali imemaliza kilomita 600 hadi moyale.
Mzungu this mzungu that. Hio ni petty excuse. Kwani mzungu from Dar to Mwanza walikuwa wanafly? Na those mzungu roads ni za kitaombo sana. Many zimejengwa afreshI know Kenya well, hakuna barabara iliyojengwa na Mkenya mweusi ukiondoa highway to nowhere Thika, zote ni Muzungu kajenga, Tanzania hatukurithi Barabara yoyote ya lami ktk kwa Mzungu zote tumejenga wenyewe, Tanzania tumeanzia chini kabisa, Mzungu hakuacha chcochote hapa kwetu isipokuwa Reli ya Mjerumani, wakati Kenya mlipewa ready made country lkn bado mmeshindwa kuivusha, zaidi ya kuibomoa, hata Kibera tu imewashinda ingawaje iko tangu Mkoloni!
We unajua hio data ameeka ya mwaka gani ????Iyo excuse yako ya 2017 inaonyesha vile wewe hunaga cha maana
Mzungu this mzungu that. Hio ni petty excuse. Kwani mzungu from Dar to Mwanza walikuwa wanafly? Na those mzungu roads ni za kitaombo sana. Many zimejengwa afresh
Lakini hio si excuse. We are 50+ years tangu tupate uhuru. So Mzungu has long detached from Kenya. Except the few citizens who consider themselves KenyansHiyo Dar-MZ tumeijenga wenyewe na iko tayari, sasa hvi Tanzania yetu yote karibia Mikoa yote tunaunga kwa barabara ya Lami, imebakia michache kama Kigoma-TBR, lkn unaweza ktk Mtwara mpka MZ kwa gari ndogo tu, wkt tunapata uhuru kulikuwa hakuna kitu, vumbi tu na tope!
ha ha haa si wew apo sasa unatutia haibuMTU anaeza nunua iPhone hakose bundles?
Plus Kenya despite having smaller are has more unpaved roads, almost double the unpaved za TanzaniaHiyo Dar-MZ tumeijenga wenyewe na iko tayari, sasa hvi Tanzania yetu yote karibia Mikoa yote tunaunga kwa barabara ya Lami, imebakia michache kama Kigoma-TBR, lkn unaweza ktk Mtwara mpka MZ kwa gari ndogo tu, wkt tunapata uhuru kulikuwa hakuna kitu, vumbi tu na tope!
hizo data analysis haziwezi kuingia kwa kichwa chako wakati usha corrupt ngoja nikuige kidogo kwa hili neno msee ushacorrupt inabidi tuku update kwani naona brain yako inashindwa kuzi install izo softwareKijana kuna ki2 inaitwa data analysis na kuna software mingi za analysis yenye hujui kutumia...kazi yangu data analysis usilete ujinga hapa...hizi ndio software
1.epi data
2.SPSS
3. R console
4.Stats
5.SAS
Baba kua mpole sana tanzania ni kubwa sana mapori ni mengi sana tena hatuwez peleka roads kwenye mapori kutafuta nini??????? Kwaza tuna deal na sehemu wanazoishi binaadamu alafu huko ni project zitafuataPlus Kenya despite having smaller are has more unpaved roads, almost double the unpaved za Tanzania
hauijui tz wew unaisikia kwenye bomba tu ndiyo maana sam tym unaropoka vitu ambavyo hauvijui mfano kwa upande wa barabara haujui vitu vingi sana kutoka tz....I know Tanzania well..despite the govt owning land it has few roads.. Namnaimba CCM tu
Lakini hio si excuse. We are 50+ years tangu tupate uhuru. So Mzungu has long detached from Kenya. Except the few citizens who consider themselves Kenyans
Kwenda uko..umeanza ujinga sipendiWeka datas, acha blah blah halafu tulinganishe, Lami ambayo Tanzania tumejenga wenyewe na ile Kenya imejenga yenyewe ukiondoa Muzungu!
Weka basi...acha bla bla blaWe unajua hio data ameeka ya mwaka gani ????
Kua mpole baba nikuletee link za 2016 atleast
ha ha haaa wew kweli mshamba unalinganisha wingi wa usafiri wa tz na wakenyaIyo ni Kenya ya huko kwenu....Kenya iliimprove infrastructure yake peke yake na sai sana pave more 10000 km by 2020 iyo italeta total paved to 25000 yenu 7000 na nchi yenu na wananchi ni wengi ila magari ni machache
Magari ziko Kenya ni Mara tatu Tz natuma link saiha ha haaa wew kweli mshamba unalinganisha wingi wa usafiri wa tz na wakenya
ndiyo maana nimekuambia inabidi tukupige window ushazeeka wewe ni kijana mzee .......[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hadi leo wapo nyie mna uhuru wa jina tu...amna chenuLakini hio si excuse. We are 50+ years tangu tupate uhuru. So Mzungu has long detached from Kenya. Except the few citizens who consider themselves Kenyans
ha haaa hyo link ni yenu mpo down saba hata kwa uhalisia hauna pointi wew unajidanganya sanaMagari ziko Kenya ni Mara tatu Tz natuma link sai
Jipe matumaini hvo hvo heheheheπππππMagari ziko Kenya ni Mara tatu Tz natuma link sai
Interesting statistic, list of countries by vehicles per capita - Lubrita.com soma iyo linkJipe matumaini hvo hvo heheheheπππππ