Mimi mwenyewe si muelewi. Ameona 123 zake, na Dar Slum tuna picha zimeonyesha nzimaHajielewi huyo, mwambie picha moja huonyesha dunia nzima.
However club life still exist in Nairobi Kenya suburbs.
View attachment 962459View attachment 962461View attachment 962462View attachment 962463View attachment 962464View attachment 962465
Ahahhaa wanjala usijitekenye kisha ukacheka stop that 😂😂😂😂😂Jibu lipo kwenye picha. Angalia zile nyumba za Upperhill. If you have visual estimation abilities, you can tell the distance.
Toa maoni kwa hii picha sababu wewe ndio mtu peke ana akili hapo Tanzania.....hii battle ishe au iendele?
Akili yake si nzuri. Na Sahi industries zimepiga foleni Mombasa road hadi Kajiado, pamoja na Universities. 3years to come itashikana Nairobi hadi Kajiado, Machakos, Limuru, Thika, Ngong......Atakwambia Kitengela sio Nairobi, alafu huyo huyo atakwambia Nairobi ni 696 sq. Km pekee.😂
Sasa eti district 3 kwenye picha. Hajui hata hizo tatu si quater ya NAIROBI. Nairobi ni kutoka Thika hadi Ngong. Kikuyu hadi kitengela. Diameter ya over 60 Km
Mimi mwenyewe si muelewi. Ameona 123 zake, na Dar Slum tuna picha zimeonyesha nzima
Tuusan wacha kutuboronga. Sema tu Upanga. Unataka tuseme kuna west, south, na North pia!?
Hiyo ata Westlands haifiki beiAtasema hapo sio dar na tunaona tower zote za blue







Pori!? Yaani we bwana una akili!?So wanaposema city area nairobi 696km sq ni waongo na je yale mapori yaliyo ndani ya city????? Umefkiri hvo 😂😂😂😂 yani nairobi area ya mapori ni kubwa mara mbili ya sehemu iliojengwa unakubaliana na mm sawa
Haitashika kwasababu kwenye 696km sq za nairobi 400km sq ni mapori 😂😂😂😂Akili yake si nzuri. Na Sahi industries zimepiga foleni Mombasa road hadi Kajiado, pamoja na Universities. 3years to come itashikana Nairobi hadi Kajiado, Machakos, Limuru, Thika, Ngong......
Credit goes to mfotoaji, kwann battle iishe?we want to know more abt Nbo ,infact mm hua kuna mda hata sikumbuk kuhusu battle napata faraja tu kuona midude ya pande zote mbili...I love this topic mno...na pendelea iendeleeToa maoni kwa hii picha sababu wewe ndio mtu peke ana akili hapo Tanzania.....hii battle ishe au iendele?View attachment 962601
Pori!? Yaani we bwana una akili!?
Atasema hapo sio dar na tunaona tower zote za blue
Wanjala upo hapa arusha hio dadeki😂😂😂😂 simama nayo sasa kama wewe mwanaume
Upanga kuna east na west ,kwann mvivu kujifunza? View attachment 962612Tuusan wacha kutuboronga. Sema tu Upanga. Unataka tuseme kuna west, south, na North pia!?