ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Miaka 10 tu ya maendeleo munalia hvi je 20??? Itakuaje jiulize alaf pata jibu😂😂Itawatoa LDC ama
Miaka 10 tu ya maendeleo munalia hvi je 20??? Itakuaje jiulize alaf pata jibu😂😂Itawatoa LDC ama
Naona CBD naona upperhill naona westland kwenye picha moja 😂😂😂👏👏👏👏👏
Dar 2018 vs upperhill+0.5 westlands 2018View attachment 962204View attachment 962205
Alafu watakuja wakwambie sijui oh dar ni Nairobi mara tatu ohh Nairobi ndogo bla bla![]()
Dar 2018 vs upperhill+0.5 westlands 2018View attachment 962204View attachment 962205
We kweli una akili!?hii nchi kila mtu ni mkora. ukora is inherited in their genes... it's one of the national disaster.
View attachment 962512View attachment 962513
One pic can show a whole country. It depends on scale and perspective view
😂😂😂😂😂👇👇👇👇unajipa matumainiImagine hii place haiko kwa hiyo picha....... isipokua hizo buildings za kwanza tatuView attachment 962415
Kale kanjia pale Masaki kupita kwenye duka jipya la Bakhresa unakajua!!? Kalami kalijengwa sijui mwaka gani. Vumbi hadi kwenye jengo la Bakhresa. Jengo ghorofa kama mbili hivi. Nzuri Lakini maandari🤔🤔🤔🤔🙄🙄🙄🙄Nimekaa dar Sana sijaona barabara ya hivyo hata zile Za tandale,mabibo etc hazipo hivyo
unauliza ukora kwa mkenya?We kweli una akili!?
Jibu lipo kwenye picha. Angalia zile nyumba za Upperhill. If you have visual estimation abilities, you can tell the distance.Ahahhaha wewe mjinga sana hebu tazama hii picha ina scale gani wanjala ina umbali gani iliopigwa?????😂😂😂👇👇👇View attachment 962568
Hivi ndivyo mmezoea kuharibia wakenya sifa. Eti wezi, eti wakora. Bana wee una akili kweli!?unauliza ukora kwa mkenya?
Amesema 1&3 zote Westlands anasema moja ni CBD.Jibu lipo kwenye picha. Angalia zile nyumba za Upperhill. If you have visual estimation abilities, you can tell the distance.
Umeona enhh upperhill CBd na westland kwenye picha moja haina tofaut na hiiView attachment 962553View attachment 962555
Sasa eti district 3 kwenye picha. Hajui hata hizo tatu si quater ya NAIROBI. Nairobi ni kutoka Thika hadi Ngong. Kikuyu hadi kitengela. Diameter ya over 60 KmAmesema 1&3 zote Westlands anasema moja ni CBD.
Hajielewi huyo, mwambie picha moja huonyesha dunia nzima.One pic can show a whole country. It depends on scale and perspective view
Atakwambia Kitengela sio Nairobi, alafu huyo huyo atakwambia Nairobi ni 696 sq. Km pekee.😂Sasa eti district 3 kwenye picha. Hajui hata hizo tatu si quater ya NAIROBI. Nairobi ni kutoka Thika hadi Ngong. Kikuyu hadi kitengela. Diameter ya over 60 Km
Majamaa hawa fake Sana. Kujidai na Slum eti City. Clubs wanapost hapa size ya zile za Bungoma. Dahh
A