Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kisumu city
tapatalk_1539404156933.jpeg
 
Leteni Ile list ya wealthiest cities in Africa pia.......toa feelings. Ama it's selective paralysis on where the bread is buttered?
Sikatai gdp ya nairobi ni kubwa kuliko ya Dar es Salaam. Ila ukumbuke kuwa Dar es Salaam is just a commercial city vs nairobi ambayo ndio commercial, capital na mbuga ya wanyama, sasa na kuzidiana huko kwote bado DSM inapendeza kuliko nairobi according to africa-facts.org sio kitu cha kujigamba. Sisi now tumefocus kuijenga Dodoma ije kuizidi Dar ambayo ndio inawanyoosha kiasi hicho
 
Lol hii dodoma yenu moja.....that will take you 100 years. As for kenya we are focussing on improving the rural infrastructure now.....not converting villages to fantasy capital
 
Hatuna roho mbaya ndio maana kenya is one of the most generous countries na tuko na high quality of life than tz umesahau hyo
Hamna lolote, kelele zenu mitandaoni ndio zimewafanya kuwa popular na ulimwengu taratibu unaanza kuwaelewa. Pia ujue mabahasha wenu wazungu wanawakingia mgongo ilhali sisi wanatususiasusia lakini hatuwalambi miguu
 
Lol hii dodoma yenu moja.....that will take you 100 years. As for kenya we are focussing on improving the rural infrastructure now.....not converting villages to fantasy capital
Sisi sio nyie, miaka michache tu mtakua mnaaza kutia huruma. Halafu kuna kitu hujajua kuhusu huu mpango. Movement ya dar <-> dom itafanya moro ijengeke automatically. So next 3 yrs mtakua mnashindwa mpambanishe nairobi na dar, moro, au dom?
 
Hamna lolote, kelele zenu mitandaoni ndio zimewafanya kuwa popular na ulimwengu taratibu unaanza kuwaelewa. Pia ujue mabahasha wenu wazungu wanawakingia mgongo ilhali sisi wanatususiasusia lakini hatuwalambi miguu
Unasema nn ebu ongea sasa nisikie ama lala kesho ukiamka utoe point ya maana
 
Back
Top Bottom