Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Do you know that of all the the countries you are claiming mlisaidia kupata Uhuru are richer than you? Please explain to me how it came to be.
south africa ilipata uhuru 1994, comoro 2001 i think rwanda and burundi just like 10 yrs ago ndio wametulizwa na tanzania baada ya vita vya wahutu, kila mmoja alisaidiwa kwa miaka yake na baada kumaliza rwanda and burundi ndio sasa tuakajipanga sisi kama sisi juanza kujenga nchi na developments zimeanza juat like 10 yrs ago, tanzania haina uchoyo na pia tulizipa nchi za africa uhuru ili ziendelee sio ziwe maskini na mpaka leo migogoro ya kisiasa africa inaletwa tanzania kwaajili ya suluhu, so wakiendelea sisi tunafurahi zaidina wanatupa heshma kubwa sana ndio maana wakaipa tanzania heshma ya kua miongoni mwa nchi za SADC, na wakampa magufu kua kaimu mwenyekiti wa sadc na sio hilo majuzi wameiteua tanzanua kua mwagizaji na supplier wa dawa za binaadamu kwenye nchi zote za sadc😀😀😀😀😀 neema huja kwenye moyo msafi na ndio maana na sisi tupo kazi kwenye developments na hili ndilo linawafanya leo hii munakosa raha na amani, ikiwa miaka mitatu ya magufuli kafanya mambo ambayo ingewachukua nyie miaka 30😀😀😀😀😀😀😀

sasa swali linakuja kwenu nyie mliojitenga baada ya uhuru na mliokua na opportunity ya kujenga nchi zaidi ya miaka 40 mumejenga nini??? na je mumejitathmini muko wapi???
 
sababu TZ kuwa na uchumi mdogo kuliko wao hadi sasa ni kwa sababu ya kuzisupport nchi nyingine za afrika kupata uhuru, From South Africa to Mozambique to Zimbabwe haya Museveni naye tukampa refuge TZ, Vita Uganda tukampiga Idd Amin na walibya wake aliowaleta, Kenya ilikuwa wapi? Selfish na kujijali wenyewe, Sasa TZ inaendelea kiuchumi kuliko hata Kenya, we have less to worry about ndo maana wanalia lia hapa.
pamoja na kujijali wenyewe na kua selfish hebu waulize hio zaidi ya miaka 40 wao wamejenga nini??? na wako wapi??😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
south africa ilipata uhuru 1994, comoro 2001 i think rwanda and burundi just like 10 yrs ago ndio wametulizwa na tanzania baada ya vita vya wahutu, kila mmoja alisaidiwa kwa miaka yake na baada kumaliza rwanda and burundi ndio sasa tuakajipanga sisi kama sisi juanza kujenga nchi na developments zimeanza juat like 10 yrs ago, tanzania haina uchoyo na pia tulizipa nchi za africa uhuru ili ziendelee sio ziwe maskini na mpaka leo migogoro ya kisiasa africa inaletwa tanzania kwaajili ya suluhu, so wakiendelea sisi tunafurahi zaidina wanatupa heshma kubwa sana ndio maana wakaipa tanzania heshma ya kua miongoni mwa nchi za SADC, na wakampa magufu kua kaimu mwenyekiti wa sadc na sio hilo majuzi wameiteua tanzanua kua mwagizaji na supplier wa dawa za binaadamu kwenye nchi zote za sadc😀😀😀😀😀 neema huja kwenye moyo msafi na ndio maana na sisi tupo kazi kwenye developments na hili ndilo linawafanya leo hii munakosa raha na amani, ikiwa miaka mitatu ya magufuli kafanya mambo ambayo ingewachukua nyie miaka 30😀😀😀😀😀😀😀

sasa swali linakuja kwenu nyie mliojitenga baada ya uhuru na mliokua na opportunity ya kujenga nchi zaidi ya miaka 40 mumejenga nini??? na je mumejitathmini muko wapi???
asante baba fact kwa fact, msumari mzito, yaani hilo ni swali ambalo hawawezi kukujibu hata siku moja. Wajinga sana hao
 
south africa ilipata uhuru 1994, comoro 2001 i think rwanda and burundi just like 10 yrs ago ndio wametulizwa na tanzania baada ya vita vya wahutu, kila mmoja alisaidiwa kwa miaka yake na baada kumaliza rwanda and burundi ndio sasa tuakajipanga sisi kama sisi juanza kujenga nchi na developments zimeanza juat like 10 yrs ago, tanzania haina uchoyo na pia tulizipa nchi za africa uhuru ili ziendelee sio ziwe maskini na mpaka leo migogoro ya kisiasa africa inaletwa tanzania kwaajili ya suluhu, so wakiendelea sisi tunafurahi zaidina wanatupa heshma kubwa sana ndio maana wakaipa tanzania heshma ya kua miongoni mwa nchi za SADC, na wakampa magufu kua kaimu mwenyekiti wa sadc na sio hilo majuzi wameiteua tanzanua kua mwagizaji na supplier wa dawa za binaadamu kwenye nchi zote za sadc😀😀😀😀😀 neema huja kwenye moyo msafi na ndio maana na sisi tupo kazi kwenye developments na hili ndilo linawafanya leo hii munakosa raha na amani, ikiwa miaka mitatu ya magufuli kafanya mambo ambayo ingewachukua nyie miaka 30😀😀😀😀😀😀😀

sasa swali linakuja kwenu nyie mliojitenga baada ya uhuru na mliokua na opportunity ya kujenga nchi zaidi ya miaka 40 mumejenga nini??? na je mumejitathmini muko wapi???
You are answering your own quiz, that's not what I asked.
 
Shida ya maji nairobi ni kubwa sana tena sana yani katika mambo yanawatesa ni maji [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alaf mtu anasherekea eti chelsea kuwaeka kwa map[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Kwaiyo majamaa hayaogi, duh yatakuwa yananuka sana mikwapa.
 
[emoji445] nchi ya kitu kidogo [emoji445] by eric wainaina.
Screenshot_2018-12-07-12-13-49-713_com.twitter.android.jpeg
 
south africa ilipata uhuru 1994, comoro 2001 i think rwanda and burundi just like 10 yrs ago ndio wametulizwa na tanzania baada ya vita vya wahutu, kila mmoja alisaidiwa kwa miaka yake na baada kumaliza rwanda and burundi ndio sasa tuakajipanga sisi kama sisi juanza kujenga nchi na developments zimeanza juat like 10 yrs ago, tanzania haina uchoyo na pia tulizipa nchi za africa uhuru ili ziendelee sio ziwe maskini na mpaka leo migogoro ya kisiasa africa inaletwa tanzania kwaajili ya suluhu, so wakiendelea sisi tunafurahi zaidina wanatupa heshma kubwa sana ndio maana wakaipa tanzania heshma ya kua miongoni mwa nchi za SADC, na wakampa magufu kua kaimu mwenyekiti wa sadc na sio hilo majuzi wameiteua tanzanua kua mwagizaji na supplier wa dawa za binaadamu kwenye nchi zote za sadc😀😀😀😀😀 neema huja kwenye moyo msafi na ndio maana na sisi tupo kazi kwenye developments na hili ndilo linawafanya leo hii munakosa raha na amani, ikiwa miaka mitatu ya magufuli kafanya mambo ambayo ingewachukua nyie miaka 30😀😀😀😀😀😀😀

sasa swali linakuja kwenu nyie mliojitenga baada ya uhuru na mliokua na opportunity ya kujenga nchi zaidi ya miaka 40 mumejenga nini??? na je mumejitathmini muko wapi???
Hakika walijenga uhuru pack na vidaraja vya kupanga matofari bila kusahau lile bwawa la m'mbu
 
Remember Mombasa has more 5 star hotels than Dar.
swali lake umelielewa?????? au unaropoka tu😀😀😀😀😀😀
mention one 5 Star hotel outside Nairobi with 170+ rooms! there r over 10 hotels of that rank outside Dar with majority in Zanzibar!
 
Back
Top Bottom