Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 26,991
- 27,998
Hapana, ni ya kupigia nayo watu nduru
Hapana, ni ya kupigia nayo watu nduru
Wewe nakwambia kwa arusha huiwezi kwanzia roads, public transport, hotels, malls, real estate, buildings density yani kwakifupi arusha iache sio size yako😂😂😂😂Tukiangalia roads, Kisumu tops
Malls, Kisumu tops
Residential development, Kisumu tops
Airport,Kisumu tops
CBD, Kisumu tops
Markets, Kisumu tops
Everything Kisumu imeshinda nazo Arusha
Wewe nakwambia kwa arusha huiwezi kwanzia roads, public transport, hotels, malls, real estate, buildings density yani kwakifupi arusha iache sio size yako![]()
roads twende kazi😂😂😂😂👏👏Chagua ya kuanza nayo tuendelee basi.
Eka za Arusha tuoneroads twende kazi![]()
Umeomba niseme nn sasa unaanza kuogopa😂😂😂😂😂😂 twende kazi kama ulivoomba nichague nishachagua anza twende 😆😆😆😆😆Eka za Arusha tuone
Shida ya maji nairobi ni kubwa sana tena sana yani katika mambo yanawatesa ni maji 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 alaf mtu anasherekea eti chelsea kuwaeka kwa map😆😆😆😆MLDC hakika furahi day kwenu ipo vizuri....
Haya ndiyo maisha halisi ya nairobi na wakenya woote kwa ujumla ..hebu nisiongee sana tufanye kuangalia kidogo
CLASSIC MEGA CITY NAIROBI
View attachment 958875View attachment 958876View attachment 958877View attachment 958881
Wewe nakwambia kwa arusha huiwezi kwanzia roads, public transport, hotels, malls, real estate, buildings density yani kwakifupi arusha iache sio size yako😂😂😂😂
Umeomba niseme nn sasa unaanza kuogopatwende kazi kama ulivoomba nichague nishachagua anza twende
![]()
Yaani humo wanaingia binadamu,magodoro,viti,panya,mbuzi,kuku,maembe na vifurushi vya viazi n.k.....Nimekuonesha mbunge wa dodoma alivojitolea kutoa gari kwa kila mtu kwa ajili ya kubebea maiti sasa leo hii unashangaa gari hio kubeba maiti lakini hushangai chai maharage ikibeba vichwa vilivo hai nairobiView attachment 958832View attachment 958833View attachment 958834


halafu ngoma unamwambia dereva amsha baada yakuwa top kupindukia



hakika nairobi yafaa kuigizia movie moja matata yakivitaFLYOVER ZA MATOFALI. LMAO
Talk of a jealous neighbour, Arusha or Mwanza will never have flyover like that.FLYOVER ZA MATOFALI. LMAO
Tunajenga flyover kwenye umuhimu hatujengi flyover kupoteza pesa za umma kama mlivofanya nyie mpaka leo madeni yako kichwani kuyalipa hamuwezi😂😂😂😂Talk of a jealous neighbour, Arusha or Mwanza will never have flyover like that.
True, hatutakuwa na zamatofali tutakuwa na za columns. Dua la kuku halimpati mweweTalk of a jealous neighbour, Arusha or Mwanza will never have flyover like that.
Bila kusahau kunguni ndio nyumbani kwao😂😂😂😂😂😂😂Yaani humo wanaingia binadamu,magodoro,viti,panya,mbuzi,kuku,maembe na vifurushi vya viazi n.k.....
Yaani ni taflanihalafu ngoma unamwambia dereva amsha baada yakuwa top kupindukia
Shida ya maji nairobi ni kubwa sana tena sana yani katika mambo yanawatesa ni majialaf mtu anasherekea eti chelsea kuwaeka kwa map
![]()




hawa majamaa huwa nawasikiliza hoja zao halafu huwa nawacheka kwa dharau......yaani wanamaisha mabovu ,magumu sana yaliyotapakaa uchafuYani yeye anafkiri akipanga matofali akimaliza ishakua city 😂😂😂😂😂😂True, hatutakuwa na zamatofali tutakuwa na za columns. Dua la kuku halimpati mwewe