Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

amesahau kua tanzania ilizsaidia kupata uhuru nchi zaidi ya 10 africa wao walijitenga kujenga nchi lakini cha kuskitisha hakuna walichojenga😀😀😀😀 bado wako hohehae
Do you know that of all the the countries you are claiming mlisaidia kupata Uhuru are richer than you? Please explain to me how it came to be.
 
kisumu ipate suburbs kama hizi nafunga account jamii forum dadeki😀😀😀😀😀😀
1544173794572.png
1544173913641.png
1544173938082.png
 
amesahau kua tanzania ilizsaidia kupata uhuru nchi zaidi ya 10 africa wao walijitenga kujenga nchi lakini cha kuskitisha hakuna walichojenga😀😀😀😀 bado wako hohehae
sababu TZ kuwa na uchumi mdogo kuliko wao hadi sasa ni kwa sababu ya kuzisupport nchi nyingine za afrika kupata uhuru, From South Africa to Mozambique to Zimbabwe haya Museveni naye tukampa refuge TZ, Vita Uganda tukampiga Idd Amin na walibya wake aliowaleta, Kenya ilikuwa wapi? Selfish na kujijali wenyewe, Sasa TZ inaendelea kiuchumi kuliko hata Kenya, we have less to worry about ndo maana wanalia lia hapa.
 
Hivi hawa wakenya ni wanamatatizo sana,,,huwa najiuliza hivi hiki kidaraja chakupanga matofali walikijengea nini kama hadi mafuriko yanajaa juu [emoji1][emoji1][emoji1] huu ni upuuzi
est.jpeg
 
Back
Top Bottom