Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hio utacompare aje na westy????...manyumba ndogo ndogo.... lakini leo umenibamba ..mko na sherehe ya kulauch lorryView attachment 958809
Hushangai binaadamu mwenye afya na uhai akipanda humu😂😂😂😂👇👇👇👇👇
287A0ED1-6089-454A-8D62-70F44D8CE30C.jpeg
92CD8FFD-C514-4013-833E-296D937EE939.jpeg
9725FC6A-2D3A-4952-AFA4-FC79BC1EA20E.jpeg
 
Watu wanawekwa kama gunia za viazi...atleast mat kila mtu ko na kiti yake..
images%20(20).jpeg
local-buses-known-as-dala-dala-in-the-bus-station-zanzibar-city-stone-dhgdyd.jpeg
images%20(19).jpeg
 
Ulileta picha ya dodoma iyo lorry ya mazishi...so dodoma ni DAR..Nugu
Nimekuonesha mbunge wa dodoma alivojitolea kutoa gari kwa kila mtu kwa ajili ya kubebea maiti sasa leo hii unashangaa gari hio kubeba maiti lakini hushangai chai maharage ikibeba vichwa vilivo hai nairobi😆😆😆😆😆😆👇👇👇👇
158DEE34-E0CB-409B-8740-3D9CA872AD62.jpeg
04CA8562-F9CD-42E8-B224-2BB00A71AE8E.jpeg
B533A3DF-B43E-441B-8AC2-0F1DB2F53FF4.jpeg
 
Asante kwa kurudia sehemu moja kwa picha tatu. Asante pia kwa kukubali Arusha ni ovyo kwa residential development hadi ukaamua kusupport na maduka.
Pole kwa maumivu yakiyokupata😆😆👏👏👏 siku nyingine ukija uje na adabu
 
Ati adabu? Usiwahi compare Arusha na Kisumu tena. Arusha is full of vibanda right from CBD all the way people's homestead
Kisumu kwa arusha itasujudu mara 10 😂😂😂😂😂😂 arusha iache tu bro itakutoa roho bure

Another 5 star hotel in arusha👇👇👇
86D3AD73-33C1-48C0-BD91-D7A98D4150B8.jpeg

7D039657-19F2-4141-AEA1-1114D91DD6E7.jpeg
 
Back
Top Bottom