Wacha nikuonyeshe kwa vitendo kichaa ni nani
Dar is Slum Streets...ona uchafu kila mahali na mpangilio kiholela holela
View attachment 955882
Hapana letea sisi Uchafu
View attachment 955883
Nairoberry na hatubahatishi halafu angalia namba plates usije ukasema tumechukua picha za maerkani na kuweka hapa
View attachment 955885
View attachment 955886
Usistuke Mkuu hio sio runway ya ndege kule Marekani ama Japan ni barabara tunazozitumia kila siku bila kuringa hata kamuulize Jiwe atakwambia ni kweli....UKIWEKA KAMA HII hapo kijiji chenu cha kuvulia samaki tafadhali untag.
😉