Wakenya waanza kumuandika vibaya Ben Pol, kisa utajiri wa binti

brave one

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
4,876
7,366
Siku chache baada ya kukiri kuwa kwenye mahusiano msanii wa bongo fleva Ben Pol na binti tajiri was kikenya Anerlisa Muigai mtandao wa nchini Kenya uitwao Tuko.co.ke umeandika binti huyo amewakimbia wanaume wa Kenya na kumchumbia Ben Pol, kinyume na kawaida kuwa mwanaume ndo anamchumbia mwanamke, haieleweki Kama wanahisi bwana Ben Pol hawezi mchumbia binti huyo au walikosea kuandika
Wadau hivi ni sahihi kuandika mwanaume anachumbiwa?
Screenshot_20181130-135538.jpeg
Screenshot_20181130-135738.jpeg
 
Hivi Benpol si ana mtoto kwa binti flani hivi?
Waliachana?

Imenikumbusha enzi za AY na Amani
 
MK254 karibu usome hii

Asante kwa kuniita huku....afu naona kama mumeanza kutuzoea vibaya, Ali Kiba kaja na kunyakua binti wetu wa Pwani tukainyamazia, huyu Ben Pol naye keshaleta pua huku.... Hivi hiyo Bongo hakuna warembo muishie huko huko....hehehe
Diamond kafuata Zari Uganda, AY akafuata Mnyarwanda....mbona mnawakimbia mabinti wenu.....mtuachie wetu la sivyo tutachomoa mapanga na kuonana wabaya.....wivu unaniuma fulllllll
 
Siku chache baada ya kukiri kuwa kwenye mahusiano msanii wa bongo fleva Ben Pol na binti tajiri was kikenya Anerlisa Muigai mtandao wa nchini Kenya uitwao Tuko.co.ke umeandika binti huyo amewakimbia wanaume wa Kenya na kumchumbia Ben Pol, kinyume na kawaida kuwa mwanaume ndo anamchumbia mwanamke, haieleweki Kama wanahisi bwana Ben Pol hawezi mchumbia binti huyo au walikosea kuandika
Wadau hivi ni sahihi kuandika mwanaume anachumbiwa?
View attachment 951395View attachment 951397
Hata ungekua wewe lazma roho ingekuuma,Kiba kabeba mkenya,Mond anakula mkenya,Benpizo nae kabeba mkenya,ila Dimpoz tu ndo anatuangusha sisi wanaume wa bongo yeye kaenda kwa gavanna,sijui wanamfanyaje huko mombasa!!
 
Asante kwa kuniita huku....afu naona kama mumeanza kutuzoea vibaya, Ali Kiba kaja na kunyakua binti wetu wa Pwani tukainyamazia, huyu Ben Pol naye keshaleta pua huku.... Hivi hiyo Bongo hakuna warembo muishie huko huko....hehehe
Diamond kafuata Zari Uganda, AY akafuata Mnyarwanda....mbona mnawakimbia mabinti wenu.....mtuachie wetu la sivyo tutachomoa mapanga na kuonana wabaya.....wivu unaniuma fulllllll
Tunadumisha undugu
 
hahaha mkuu wahuku wameshindikana wanapitiwa tu kuolewa wanaolewa wengine
 
Aiseee mahusiano haya!
Yule binti huwa naona kama anajielewa sana brave one
Kichwani Yuko vizuri Sana na mama yake ndo anamtegemea kuwa mrithi wake
Sema mapenzi ndo hivo Tena kaacha wasomi na matajiri wenzie kadondokea kwa Mgogo
 
Asante kwa kuniita huku....afu naona kama mumeanza kutuzoea vibaya, Ali Kiba kaja na kunyakua binti wetu wa Pwani tukainyamazia, huyu Ben Pol naye keshaleta pua huku.... Hivi hiyo Bongo hakuna warembo muishie huko huko....hehehe
Diamond kafuata Zari Uganda, AY akafuata Mnyarwanda....mbona mnawakimbia mabinti wenu.....mtuachie wetu la sivyo tutachomoa mapanga na kuonana wabaya.....wivu unaniuma fulllllll
Nimependa uandishi wako
 
Tutawapa Gigy Money.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom