Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Having a games facility in Tanzania is like having a big head with no brains. No work at all.
Screenshot_20181129-213525.png

In Nairobi Kenya
Screenshot_20181129-213534.png
 
Yani akili yake anadhani investor anaeza own land in tanzania [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yeye hakuamini kama mlimani city ni ya udsm sasa kashtuka amebaki kutapatapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa waanze kutambua ubaya wa ubepari na uzuri wa ujamas
 
Lazma uweke emoji.........nikionanga umezitumia sana ni kutapatapa unatapatapa kuokoa himaya yako
Mwenzako alijua KU ndio yenye mall akasahau kua mlimani ni mali ya udsm leo nimecheka sana 😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom