Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

But the fact remains ,
You are very evil. Nyinyi ni mbwa mwitu waliovalia ngozi ya kondoo.

Labda,
Lakini ukiachilia mbali kenya kutokuwa na mahusiano mzuri na Majirani, Tanzania tuna urafiki na undugu wa karibu na Uganda, Rwanda, Burundi, Msumbiji, Congo, Zambia na Malawi, na hadi Sudani ya Kisini, hatuna shida na jirani yotote isipokuwa kenya,
Mpaka hapo, Unadhani nani ana matatizo hapo?
 
We welcome Tanzanians with open arms in kenya but Kenyans are treated like suspects in Tanzania.....if everyone notices you are kenyan anageuka kukuangalia na kuku suspect....lol.
 
high quality life na watu wanaishi kama wako jehanamu au Guantanamo kule turkana na kibera!
Ukipata mtz anayeishi maisha kama ya wale jamaa wa turkana ni-tag
jehanamu na Guantanamo ni ww na magufuli un na worldbank walijua kibera na turkana zko kenya na wakasema kenya has high quality of life than tz inamaanisha tz ni jehanamu zaidi ya kenya
 
Labda,
Lakini ukiachilia mbali kenya kutokuwa na mahusiano mzuri na Majirani, Tanzania tuna urafiki na undugu wa karibu na Uganda, Rwanda, Burundi, Msumbiji, Congo, Zambia na Malawi, na hadi Sudani ya Kisini, hatuna shida na jirani yotote isipokuwa kenya,
Mpaka hapo, Unadhani nani ana matatizo hapo?
Ni kahaba anaegongwa na usa pamoja na west europe sasa anaona wenzake hawana maana coz hawamtishi chochote mabwana zake watasimama kidete kumsaidia na ndio chanzo hata al-shabaab Ku-lay low. Namshauri ajue kuwa usa kuna demu mkaliii anamtaka (Somalia) so anamtumia kenya kumpata Somalia
 
Msee you should visit Tanzania ujionee real poverty......you will appreciate being kenyan. I didn't have a very good experience....and if you are kenyan you risk being arrested or harrased in that pathetic country
Kenya has high quality of life than tz hyo ni ukweli wapende wasi wapende
 
We welcome Tanzanians with open arms in kenya but Kenyans are treated like suspects in Tanzania.....if everyone notices you are kenyan anageuka kukuangalia na kuku suspect....lol.
Je mnataka ndugu zenu waliopo huku mashambani wanalima nyanya na vitunguu tuwafanyie hayo
Your exagrating sana. Tunaishi nao vizuri sana. Tena wapo wengi hakuna anayenyanyaswa kama una mfano humu.
 
Ata mm najua watz ambao wako na mahoteli hapa na wanafanya biashara yao bila usumbufu wowote wengine wanauza mitumba
 
Msee you should visit Tanzania ujionee real poverty......you will appreciate being kenyan. I didn't have a very good experience....and if you are kenyan you risk being arrested or harrased in that pathetic country

Yet you still take that risk and come to Tz,

But the thing is in Tz we Don’t want Kenyans.
 
Je mnataka ndugu zenu waliopo huku mashambani wanalima nyanya na vitunguu tuwafanyie hayo
Your exagrating sana. Tunaishi nao vizuri sana. Tena wapo wengi hakuna anayenyanyaswa kama una mfano humu.
Wewe... 30% ya wakulima wa miti Iringa ni Kenyans. Ulishasikia wamenyang'anywa? La hasha coz wanafanya shughuli zao kihalali na kulipa kodi. Vipi kuhusu kcb na equity bank workers? Kuna wakenya wengi wanaotafuta maisha Tz kuliko wa Tz waliopo kenya na unajua hilo sema unaongea kujifurahisha
 
Ata mm najua watz ambao wako na mahoteli hapa na wanafanya biashara yao bila usumbufu wowote wengine wanauza mitumba
Wacha porojo budaa. WaTz wengi wamekimbia nairobi kisa ni polisi wakenya wakimkamata Mtanzania hawataki ajitetee wakiogopa atashinda coz huwa sio makosa ya kweli bali ni ya kubambikiziwa. Kipindi alivokuwepo kibaki ndio walikwepo wengi sio sasa no wonder njia ya mbezi beach ikapewa jina la kibaki. But now kila anaekuja huko anarudi na hasara tupu n now wamehamia Arusha, Dom, Tanga, Dsm n.k
 
Wewe... 30% ya wakulima wa miti Iringa ni Kenyans. Ulishasikia wamenyang'anywa? La hasha coz wanafanya shughuli zao kihalali na kulipa kodi. Vipi kuhusu kcb na equity bank workers? Kuna wakenya wengi wanaotafuta maisha Tz kuliko wa Tz waliopo kenya na unajua hilo sema unaongea kujifurahisha
Upo sawa wanalialia tu
 
We welcome Tanzanians with open arms in kenya but Kenyans are treated like suspects in Tanzania.....if everyone notices you are kenyan anageuka kukuangalia na kuku suspect....lol.

There is one holly Reason, THEFT, studies show that 8/10 Kenyans are potential thieves, then who will trust you? Years back Tuliwaamini mkaharibu, we learned from our mistakes..

Pia kenya welcomes Everyone, not only tz,yet no one is interested to visit (sisi waswahili husema kizuri hujiuza......)
Again Like I clarified before, hatuwataki Wakenya huku kwetu na tabia zenu za ujuaji na majivuno na kujikweza, ubaguzi, wizi, ubinafsi, Ukabila na dharau,
Kama mnatukaribisha its ok then, ila kwetu hamkaribishwi.
You can go to Sudan, Somalia, Uganda and Ethiopia instead, aren’t they your neighbors too??
 
Kenya is colonizing its neighbours. Naskia GOK imetuma troops South Sudan for the Oil, huku Somalia already imekua kenya, the government is controlling the Somali Port and has already deployed the Kenya Police to administrate Somalia not to forget the border dispute is on for Kenya to control Somali coastline .
Hata wachinku hukuja huko. We come to exploit you.
FB_IMG_15431322496732315.jpeg
FB_IMG_15431314243769307.jpeg
 
Ni kahaba anaegongwa na usa pamoja na west europe sasa anaona wenzake hawana maana coz hawamtishi chochote mabwana zake watasimama kidete kumsaidia na ndio chanzo hata al-shabaab Ku-lay low. Namshauri ajue kuwa usa kuna demu mkaliii anamtaka (Somalia) so anamtumia kenya kumpata Somalia

Mahayawani haya, yanapigana Eti huko somalia hata hayajui yanapigana kwa Maslahi ya Nani,
Vichwa maji kweli!
 
Back
Top Bottom