Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Aisee kumbe Kenya slums ziko kila mahali,yaani jamaa ni wachafu vibaya mno
Ulikua hujui kumbe ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
B46FB631-0458-4D0D-B487-A95B42666CC1.png
 
Kumbuka Nigeria ndo nchi yenye watu masikini wengi kuliko nchi nyingine yoyote afrika,na ndo nchi yenye uchumi mkubwa kuliko nchi yoyote afrika..
Hahhaha yani maisha ya wakenya bora ya jana kuliko ya leo ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Ichoboy mm pia nashangaa hyo miaka yote Kenya ikikuwa mlikuwa wapi hayo madini yote mko nayo imewasadia aje you are still one of the poorest nations in the world we have our problems but we still beat you in quality of life ebu angalia hdi rankings hakuna kitu unaniambia ni kujichocha tu mko mbele na hakuna KTU inafaa mkue na south Africa huko mbele mko na kla KTU South Africa wako nayo mko na nayo kuanzia gold diamonds gemstones massive gas reserves acha kunishow story za mlianza kuimarika ten years ago hyo miaka yote mlikuwa wapi hamjakuwa na vita kama congo ama na tribal conflicts na corruption ya kenya nipe jibu wacha kutapatapa
 
Watakuambia walikuwa wanapigania S.A na Uganda [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa hiyo inamaana dalili ya mvua ni mawingu..

Wakenya watapata tabu sana
Utakwepa wapi budaa[emoji122][emoji122][emoji122][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]kumbe 2012 ilikua 43% sasa hvi 2018 imepanda mpaka 46%

Watakuambia walikuwa wanapigania S.A na Uganda [emoji23][emoji23][emoji23]
Ila aki wakenya wachafu kunuka jamani kwanza wengi wao awaogagi Kwa sababu hali ya hewa ya nai ni baridi ,ukipata manzi ya kikenya inabidi uisafishe na jiki na detto itoke ukulutu jamani jamani wakenya kuweni wasafi
 
If you post nonsense, we give it back the same shit,you don't think to post somethin' shit, then niggaz would stay calm watchin' your garbage goes around...
I used to tel you
If yo don't wanna be quoted,simply, go back home to help your momma cooking something else..
Sorry I don't talk with witches and sorcerers, utaniroga.
 
Hii imetoka kwa wale mnaowalamba unyayo wawajengee miji yenu:
Nairobi haiwezi kuikaribia Dar es Salaam kwa uzuri na hiyo ndio fact. Nairobi is the most populous in Africa kwa kelele za wakenya mitandaoni na bado kwa kujitangaza kwote huko wamewatupa mbali na kuona Dar ni sehemu nzuri zaidi coz kizuri hakijifichi ingawa mnajitahidi kutengeneza takwimu zenu mitandaoni na youtube kuishusha Dar na TZ kwa ujumla lakini bado tunaonekana.
Kwa jinsi mnavojitangaza mitandaoni na kuitangaza vibaya TZ ndivyo inavyodhihirisha jinsi mlivyo na wivu juu yetu
 
Mwambie akiletea official source anitag nasubiria๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ siku mbili anazungusha hataki kuleta source๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘
Nilikuambia kafribia mwezi jana uniletee bei ya unga Tanzania hadi sasa nangoja ila wewe unapatiwa official source unatapatapa yani hukubali kuwa mji wako ligi yake ni kina Kampala. Sasa pokea sindano
1542963011232.png
 
View attachment 943687
Akikuletea source tu nitag๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘
GDP ya nairobi na GDP ya dar nasubiria sana kwa hamu๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘
 
Ichoboy mm pia nashangaa hyo miaka yote Kenya ikikuwa mlikuwa wapi hayo madini yote mko nayo imewasadia aje you are still one of the poorest nations in the world we have our problems but we still beat you in quality of life ebu angalia hdi rankings hakuna kitu unaniambia ni kujichocha tu mko mbele na hakuna KTU inafaa mkue na south Africa huko mbele mko na kla KTU South Africa wako nayo mko na nayo kuanzia gold diamonds gemstones massive gas reserves acha kunishow story za mlianza kuimarika ten years ago hyo miaka yote mlikuwa wapi hamjakuwa na vita kama congo ama na tribal conflicts na corruption ya kenya nipe jibu wacha kutapatapa
Tulikua tunasaidia nchi za africa kwenye uhueu ikiwemo south africa 1994 usisahau hilo๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘ soma history kwanza uelewe tanzania ilitumia pesa na uwezo wake kuzikomboa nchi za africa baada ya kua nchi zote zimetulia ndio tukaanza kujenga nchi ambayo mapaka sasa ni just 10 or 12 yrs lakini speed iliotunika kujenga nchia hata mungepewa 60 yrs musingefkia na bahat nzuri kitu ulikua hukijui ni kwamba tanzania ndio imeanza sasa kutumia resources zake ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ safari hii moja haitakaa na mbili haitakaa
 
Back
Top Bottom