Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Is Bakhresa a native? Muhindi ndio unaita native?
Is bakhresa muhindi uliza upate elimu ujuaji punguza👇👇👇👇👇huyo ni mzanzibari
E4F2CEC6-C7A7-4652-A201-BFB67C9ED21D.png
 
Tell me which major company in Tz is owned by natives.
😂😂😂😂😂👇👇👇👇👇
5837CF03-06D4-4A8D-A80D-ECCA8B8C1C0E.jpeg




Naona jana ulikua unaswali unauliza vodacom ni ya nani👇👇👇👇 huyu na rostam ndio wenye vodacom tanzania
6DA2FF94-F2E0-4DA7-A586-F7F4085337C1.jpeg
 
you have been uttering these nonsense words since january 2017 the day when this thread was created....nilidhani mngesusa lakini la kufurahisha kila siku lazima muingie kwa battle kujibu hoja wa watz. [emoji23][emoji23]

FYI hii thread ita trend mpaka 2025...ukipata hasira panda juu ya KICC jirushe mpaka chini,Mungu atakutumia malaika waje kukuokoa. [emoji23]
Jizee LA 60's linaongea😅😅 nakuheshimu juu ya umri wako😄 La sivyo...
 
Ukienda Nairobi pita pale langata kule Carnival, halafu uone hiyo airport wanapost humu, ni kichekesho mkuu, thats why huwa naona wakenya ni watu wenye akili ndogo sana.
Thats where my flight school is,lots of memories from wilson from airshows to being the busiest airport around the region, nyinyi mmeshawaii kua na airshow hata moja?
 
Back
Top Bottom