Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hebu fanya kama unatake a time kukaa kwa utulivu kimya kimya kisha linganisha hicho kigolf place ulichopost kisha kisha uitizamane hiyo tuliyoipost then jibu utakalilipata baki nalo moyoni
I know mnaungua behind the emojis
 
Aerial view yake ni hatar chukua iyo
Screenshot_2018-11-16-22-23-19.jpg
 
Miaka 30 Tanzania ilikua inapigana huko kusini mwa Africa, Kenya mlikua mnajenga nchi na uchumi wenu, tumewakuta na tunawaacha. Mnamatatizo gani?, wenzenu wangekuwa Singapore sasa hivi.
Kwani Kenya ndo iliwatuma uko
 
Miaka 30 Tanzania ilikua inapigana huko kusini mwa Africa, Kenya mlikua mnajenga nchi na uchumi wenu, tumewakuta na tunawaacha. Mnamatatizo gani?, wenzenu wangekuwa Singapore sasa hivi.
hahahahahahahaha dj pull it up, tuta,tuki,tutaipiku kenya,wataisoma namba chorus x3
 
88-52=36bln
Hahahahaha, unadhani maendeleo ni numerical GDP tu.
1)We feed ourselves, you can't
2)We have enough safe water, you don't.
3) We have better public Hospitals, your public Hospitals are in bad shapes.
4)Economy grows at 7%, you 5.8%
5)Unemployment rate 22%, You 44%
6)Debt to GDP ratio 32%; You 62%
7)We are using our own money to build SGR. You can't build even a kilometer from your Money
Hahahahahaha
 
Back
Top Bottom