Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sijatoka nje ya mbezi beach wanjala kashindwa kutoboa mwengine kabakia kuokota picha za google mpaka za hote akaanza kupost[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122]
Buda umeshindwa vibaya sana...sijaona mtu akishindwa hivo...you have disappointed your brothers...LOSER
 
LIMURU gives you a European touch

1542231985371.png
 
Kupanic ni wewe ..kenye mombasa imekufanyia hadi ukadhani ni Oman...umenibamba buda
Mwenzako nae anapost hotels yani yeye anachanganya akiona picha yoyote ya google anachukua tu hajali😂😂😂😂👏👏👏👏👏👏👏👏
 
The biggest cancer institute in east and central africa 😂😂😂👏👏🇹🇿🇹🇿👇👇
03518E06-1204-46E9-8E08-C1DA6E4CC9B8.jpeg
 
Yaani hawataki kuamini....kenya nzima imekuja hapa kucompete na king of Africa DAr es Salaam City

Leo nimecheka sana county zote wanazipambanisha kwa Dar[emoji1][emoji1][emoji1] ,,wacha tuendelee kuwaenjoy
Kweli dar imewakalia kooni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Mwenzako nae anapost hotels yani yeye anachanganya akiona picha yoyote ya google anachukua tu hajali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Umeshindwa kaka blaza ata uongee na haga umeshindwa wanjala amekupea dawa ..Yani ukadhani mombasa ni Oman kwa babu yako....haha u made my night
 
Umeshindwa kaka blaza ata uongee na haga umeshindwa wanjala amekupea dawa ..Yani ukadhani mombasa ni Oman kwa babu yako....haha u made my night
Ukhekhekehe leo nimecheka sana 😂😂😂👏👏👏👏 nimefurahi kuona mlivokwenda mbio yani mbezi beach alone imewatoa raha mwengine kaleta mpaka hotels
 
Back
Top Bottom