Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Haha nakimbia wapi...Mombasa has more tourist than dar.
9a5bf2259dca4d7a0f0b4bd5f9355f43.jpg
1ba3d735736fb3f636b2f6c96d440de4.jpg
630db33447d3e837adcdedc6600a450c.jpg
10b64572bd96071aa2350a4bbda2abe1.jpg
Pole sana bro hhehheeehhhehheh
Sisi hatupigi Mombasa tu tunapiga Kenya nzima hehheheh
Screenshot_2017-04-14-17-49-25.png
 
Usiwe na kichwa maji usifkiri katika telecommunications companies hizo 10 hakuna wanachomilik watanzania usipende kukariri penda kuelewa kulingana na wakati nilishakwambia hii ni Tanzania ya 2017 sio 90s
Safaricom iko na 4G Kenya yote hadi Mandera na Turkana...4G hapo si ni dar pekee
 
Safaricom iko na 4G Kenya yote hadi Mandera na Turkana...4G hapo si ni dar pekee
Umekosa chakuongea sasa hahhaahahhahaha
Nakwambia hii ndio 2017 4G iko city na mikoa yote Tanzania 😀😀😀😀😀😀
Na sio 4G sisi tunatumia 4.5G hhehehhehe🙂🙂🙂🙂🙂
 
That's similar with Orange...in fact Airtel you subscribe sh 50 per day unlimited
Hahaha leta hapa tuone au umesahau. Nimeshawawekea hapa
Twende kwenye cost ya 10GB per month
Niambie Kenya mnalipia shilingi ngapi mitandano yote!?
 
Tunaongelea Mombasa na dar si Kenya na Tanzania get me right
Mombasa ufananishe na dar we kichaa kweli mombasa inaingia kwa dar 6 times hehehhhe kapime ubongo wewe😀😀😀😀😀😀😀
Ukubwa wa dar nilikwambia ingiza nairobi mombasa na kisumu na bado hutoboi🙂🙂🙂
 
Thats Airtel. Orange unaget 400mb na Ksh50.
Saf ni 150mb @ Ksh 50.
Saf wako tops na 4G.
Sasa mm vodacom 500shs ambayo ni 25ksh napata 500Gb napata message 500 dakika 5 kupiga mitandao yote na dakika 50 vodacom kwenda vodacom
Screenshot_2017-04-23-11-54-58.png
 
Mombasa ufananishe na dar we kichaa kweli mombasa inaingia kwa dar 6 times hehehhhe kapime ubongo wewe😀😀😀😀😀😀😀
Ukubwa wa dar nilikwambia ingiza nairobi mombasa na kisumu na bado hutoboi🙂🙂🙂
Tunasema kwa maendeleo..si kwa land size..ata nyinyi New York inaingia DAT Mara 3 kwa land size
 
Tunasema kwa maendeleo..si kwa land size..ata nyinyi New York inaingia DAT Mara 3 kwa land size
Usifananishe new York na dar , new York ni developed city lakini ndogo nairobi na dar zote ni developing cities hvi wewe huna akili 😀😀😀😀
Tunabishana mambo yako wazi dar ni kubwa SNA tens sana kwa nairobi nilikwambia kwa dar kusanya mombasa kisumu na nairobi hutoboi
 
Kenya has the FASTEST INTERNET CONNECTIVITY In AFRICA.... Beating Canada, Russia, Australia.... Tz Kitu gani???
COUNTRIES RANKED BY INTERNET SPEED
1. South Korea: 26.1Mbps
2. Norway: 23.6Mbps
3. Sweden: 22.817.3Mbps
4. Hong Kong: 21.9Mbps
5. Switzerland: 21.23Mbps
6. Denmark: 20.7Mbps
7. Finland 20.6Mbps
8. Singapore: 20.2Mbps
9. Japan: 19.6Mbps
10. Netherlands: 17.6Mbps
11. Latvia: 17.2Mbps
12. Czech Republic: 17.3Mbps
13. United States: 17.2Mbps
14. United Kingdom: 16.3Mbps
15. Romania: 16.1Mbps
16. Belgium: 15.9Mbps
17. Spain: 15.4Mbps
18. Ireland: 15.3Mbps
19. Taiwan: 15.6Mbps
20. Bulgaria: 15.6Mbps
21. Kenya: 15.0Mbps
22. Lithuanian: 14.6Mbps
23. Canada: 14.9Mbps
24. Hungary: 14.3Mbps
25. Germany: 14.6Mbps
26. Lithuania: 14.6Mbps
27. Israel: 14.4Mbps
28: Hungary: 14.3Mbps
29: Slovenia: 14.0Mbps
30: Austria: 13.9Mbps
31. Thailand: 13.1Mbps
32. Slovakia: 13.0Mbps
33. Malta: 12.9Mbps34
34. New Zealand: 12.9Mbps
37: Portugal: 12.6Mbps
39: Poland: 12.4Mbps
41: Qatar: 11.9Mbps
42: Russia: 11.6Mbps
43: Estonia: 11.4Mbps
45: Luxembourg: 11.1Mbps
48: United Arab Emirates: 10.7Mbps
51: Australia: 10.0Mbps
 
Kenya has the FASTEST INTERNET CONNECTIVITY In AFRICA.... Beating Russia, Australia.... Tz Kitu gani???
COUNTRIES RANKED BY INTERNET SPEED
1. South Korea: 26.1Mbps
2. Norway: 23.6Mbps
3. Sweden: 22.817.3Mbps
4. Hong Kong: 21.9Mbps
5. Switzerland: 21.23Mbps
6. Denmark: 20.7Mbps
7. Finland 20.6Mbps
8. Singapore: 20.2Mbps
9. Japan: 19.6Mbps
10. Netherlands: 17.6Mbps
11. Latvia: 17.2Mbps
12. Czech Republic: 17.3Mbps
13. United States: 17.2Mbps
14. United Kingdom: 16.3Mbps
15. Romania: 16.1Mbps
16. Belgium: 15.9Mbps
17. Spain: 15.4Mbps
18. Ireland: 15.3Mbps
19. Taiwan: 15.6Mbps
20. Bulgaria: 15.6Mbps
21. Kenya: 15.0Mbps
22. Lithuanian: 14.6Mbps
23. Canada: 14.9Mbps
24. Hungary: 14.3Mbps
25. Germany: 14.6Mbps
26. Lithuania: 14.6Mbps
27. Israel: 14.4Mbps
28: Hungary: 14.3Mbps
29: Slovenia: 14.0Mbps
30: Austria: 13.9Mbps
31. Thailand: 13.1Mbps
32. Slovakia: 13.0Mbps
33. Malta: 12.9Mbps34
34. New Zealand: 12.9Mbps
37: Portugal: 12.6Mbps
39: Poland: 12.4Mbps
41: Qatar: 11.9Mbps
42: Russia: 11.6Mbps
43: Estonia: 11.4Mbps
45: Luxembourg: 11.1Mbps
48: United Arab Emirates: 10.7Mbps
51: Australia: 10.0Mbps
Hahhhhahhhhah umechange topic????
😀😀😀😀😀😀😀😀 kama kawaida 🙂
 
Kenya has the FASTEST INTERNET CONNECTIVITY In AFRICA.... Beating Canada, Russia, Australia.... Tz Kitu gani???
COUNTRIES RANKED BY INTERNET SPEED
1. South Korea: 26.1Mbps
2. Norway: 23.6Mbps
3. Sweden: 22.817.3Mbps
4. Hong Kong: 21.9Mbps
5. Switzerland: 21.23Mbps
6. Denmark: 20.7Mbps
7. Finland 20.6Mbps
8. Singapore: 20.2Mbps
9. Japan: 19.6Mbps
10. Netherlands: 17.6Mbps
11. Latvia: 17.2Mbps
12. Czech Republic: 17.3Mbps
13. United States: 17.2Mbps
14. United Kingdom: 16.3Mbps
15. Romania: 16.1Mbps
16. Belgium: 15.9Mbps
17. Spain: 15.4Mbps
18. Ireland: 15.3Mbps
19. Taiwan: 15.6Mbps
20. Bulgaria: 15.6Mbps
21. Kenya: 15.0Mbps
22. Lithuanian: 14.6Mbps
23. Canada: 14.9Mbps
24. Hungary: 14.3Mbps
25. Germany: 14.6Mbps
26. Lithuania: 14.6Mbps
27. Israel: 14.4Mbps
28: Hungary: 14.3Mbps
29: Slovenia: 14.0Mbps
30: Austria: 13.9Mbps
31. Thailand: 13.1Mbps
32. Slovakia: 13.0Mbps
33. Malta: 12.9Mbps34
34. New Zealand: 12.9Mbps
37: Portugal: 12.6Mbps
39: Poland: 12.4Mbps
41: Qatar: 11.9Mbps
42: Russia: 11.6Mbps
43: Estonia: 11.4Mbps
45: Luxembourg: 11.1Mbps
48: United Arab Emirates: 10.7Mbps
51: Australia: 10.0Mbps
Kenya inaizidi hadi Russia, Israel, Germany, Canada, Portugal, Qatar nk. Hivi hamuoni kwamba mnafanywa kama wajinga!!? Hivi nyie wakenya mnaakili kweli!?
 
Macho yanaona lakini moyo hautaki kuamini, Mimi hua naita huu mwaka ni unbelievable year
😀😀😀😀😀🙂🙂🙂🙂🙂🙂
Munatapatapa kila pembe lakini Tanzania ni ya 2017
 
Back
Top Bottom