Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahahhahahhhahha povuuuuuuuuuuuu hii ndio bongo 1590.5 km sq hahahhahah nairobi 696 km sq Mombasa 300 km sq kisumu 200 km sq jumlisha hapo munaishia 1196 km sq 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Anzisha dar vs New York basis...new York ni 600 sqr km...nyinyi 1590
 
Unajua kwann kwasabbu safaricom anatamba pekeake Kenya sisi tunaushindani wa 10 telecommunications companies 10 my friend hahhahahhhhhhaha😀😀😀
Kukua na telecom mingi si shida....main issue ni profit..ukiadd customers wa telecom zote Tanzania haifiki customers wa safaricom
 
[
You suffer from inferiority complex.... Uhuru Kenyatta alone is richer than the whole of dar is slum
Kenyatta worth yake ni 500 million USD huku kuna tajiri anaitwa mo ana worth net ya 1.4 billion usd hehhehhee na yuko among 25 richest people in africa
 
The two tower city can't beat Mombasa
01cf2bb90ec0de929f86c568bf723794.jpg
799dfe8dd99703590f7489c82c2985bc.jpg
da64a768567869f67ef606746d8d7c5c.jpg
4a594332c5d04f339f9961f118fcd14a.jpg
Ondoa uchafu wako kwikwikwi.
Dar es salaam = Nairobi + Mombasa + Nakuru + Kisumu + Odinga + Uhuruto
Azam Ferry
upload_2017-4-23_11-19-6.png


upload_2017-4-23_11-19-36.png


upload_2017-4-23_11-20-11.png


upload_2017-4-23_11-21-10.png


upload_2017-4-23_11-23-25.png
 
Kukua na telecom mingi si shida....main issue ni profit..ukiadd customers wa telecom zote Tanzania haifiki customers wa safaricom
Hahhahhahah sio shida ndio communication inakua cheap kila mmoja anajitahidi kuvutia watu 10 telecommunications companies hahhahahha
Bongo hiii hatariiiiiiiiiiiii
 
Soma kwanza hilo tangazo likuingie akilini maana akili yako ndogo sana
View attachment 499947
Hapo ndio wewe mjinga sasa.
1.GDP ya network ni equal na Africa yote combined juu ya kukua organised
2.ku add wa2 wengi kwa city italead to unplanned settlements...
3.devolution inasaidia Kenya kudecongest Nairobi na Mombasa
4.ndio maana Nina dar is slum haitachange soon...mtakua tu ka Lagos vile naona
 
Dar inamyima raha kabisa CHOLO mzii yani hata usingizi anaupata kwa shida umeona matunda ya 10 yrs yalivo na bado speed ya sasa ni Mara mbili take ya hio 10 yrs hahahhahahhaahahhah
 
Nimekujibu kisomi profit yake lazma Iwe kubwa kwasababu hana mpinzani mkubwa lakini Tanzania kuna 10 telecommunications companies na zote ziko wider na kila mmoja anajitahidi kuchukua wateja tumia medulla oblongota au kuna maji yamejaaa😀😀😀
Ujue safaricom ni 60% Kenyan owned..izo zenu zote hakuna ya tanzania
 
Hapo ndio wewe mjinga sasa.
1.GDP ya network ni equal na Africa yote combined juu ya kukua organised
2.ku add wa2 wengi kwa city italead to unplanned settlements...
3.devolution inasaidia Kenya kudecongest Nairobi na Mombasa
4.ndio maana Nina dar is slum haitachange soon...mtakua tu ka Lagos vile naona
😀😀😀😀😀
Dar ni kubwa sana sana tena sana na kila siku tunajenga kwa kupanua jiji so usifkiri tunatundikana sehemu moja tunapanua mji sana alaf nilishakwambia slums munazo nyie lakini cha ajabu hutaki kuzitaja,😀😀
Nilikwambia sehemu iliojengeka nairobi haivuki 120km sq iliobaki kwenye 696 km sq ni slums
1200px-Nairobi_slums_area.svg.png
 
Ujue safaricom ni 60% Kenyan owned..izo zenu zote hakuna ya tanzania
Usiwe na kichwa maji usifkiri katika telecommunications companies hizo 10 hakuna wanachomilik watanzania usipende kukariri penda kuelewa kulingana na wakati nilishakwambia hii ni Tanzania ya 2017 sio 90s
 
Back
Top Bottom