Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unaumia msee Kenya inalead Africa.
Twende mambo yetu. Naona mnapenda sana kuongea. Kwikwikwikwi
This is Dar es salaam. Huko kenya hakuna vitu kama hivi. Mnaviona kwenye ndoto tu. Nenda kajipange tena uje upya
26868807404_0bcd014b8a_k.jpg
26868929474_35ddb63184_k.jpg
27443642946_157bb2012f_k.jpg
27478017135_9cfeb6f8a4_k.jpg
27478304665_8bce0180c7_k.jpg
 
Naona vita imekuwa ngumu jamaa wameongeza na Mombasa Republic,,Dar si mchezo.!
 
Mombasa ufananishe na dar we kichaa kweli mombasa inaingia kwa dar 6 times hehehhhe kapime ubongo wewe😀😀😀😀😀😀😀
Ukubwa wa dar nilikwambia ingiza nairobi mombasa na kisumu na bado hutoboi🙂🙂🙂
Mombasa ipe Wilaya 2 za Kigamboni na Temeke zinaitosha.!
 
Mombasa ipe Wilaya 2 za Kigamboni na Temeke zinaitosha.!
Hana akili huyo anafkiri dar mchezooo nilimwambia alete Nairobi mombasa na kisumu na eldoret hatoboi humu bado hehehehheheheh😀😀😀😀😀😀
 
Twende statistics bwana...hizo vi2 ziko hadi mandera....
Nairobi 6100 millionaires
Dar 900 millionaires
Mombasa 1000 millionaires
Kisumu 300 millionaires
Eldoret 250
Nakuru 400 millionaires
Tanzania 2400 millionaires
Kenya 9500 millionaires
Na billionaires mbona huzungumziiii😀😀😀
Unaogopa enhhhhhh🙂🙂🙂🙂🙂
 
Back
Top Bottom