Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapana hii bado haitoshi mboga.ndio kwanza ina jengo moja refu the rest ni mabweni ya kulala.
Na hii yenu si inajengo moja na slum[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
tapatalk_1540128264158.jpeg
 
You just saw a chair, Those who liked he photo saw more than a chair. Jionee tofauti 🤣🤣

Macho haya Haya na View ni ile ile lakini kila mtu anaona tofauti.

Ana ona ila anajifanya kiburi[emoji23][emoji23]piga stick za vigimbi humo humo,wataelewa tu.
 
Hahahahaaaa.... Nairobi inazidi kutesa hapa Africa kwa speed ya juu Sana... upperhill kuna twin tower zimekua proposed juzi na zikijengwa ninauhakika Africa hatutakua na competitor upande wa tower ndefu na iconic.....tower one itakua na 55 flr na hiyo ingine itakua na 37 flr[emoji123][emoji123][emoji3577]View attachment 929665View attachment 929666
Renders asante bro😂😂😂👏👏👏👏
Pinnacle ma montave zikwapi munaota ndoto na ndoto za nyuma hazijaisha😁😁😁
 
Same way wewe unaijua Kibera ambayo ni only 2.5sq. km yet 90% of Dar (over 1000 sq.km) ni slum na huioni.
Siku ukipata google earth inaonesha upuuzi huu kwa dar nitag😂😂😂👏👏👏👇👇👇👇👇👇👇maana munaona mzungu mjinga sana 😁😁😁😁
27FC9CC0-072C-4EFB-A28E-FC51AF3C6EDD.png
 
Back
Top Bottom