sevenup
JF-Expert Member
- Aug 17, 2018
- 2,548
- 2,448
Hahahahaaaa.... Nairobi inazidi kutesa hapa Africa kwa speed ya juu Sana... upperhill kuna twin tower zimekua proposed juzi na zikijengwa ninauhakika Africa hatutakua na competitor upande wa tower ndefu na iconic.....tower one itakua na 55 flr na hiyo ingine itakua na 37 flr







