Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

i'm 100% sure hii inaweza kuwa ni sabotage. nalisema hili kwasababu siku zote mkenya hapendi kuona mtanzania ana prosper katika kazi zake.

kuna baadhi ya blind patriots wa kikenya wanaumia sana kwenye nafsi wanapoana vijana wanamziki toka tanzania wanapata kandarasi ya ku-perform kwenye event kubwa za kenya.

but pia yawezekana ikawa ni sabotage within kenyan music promoters and event organizers themselves. yaani utakuta wao kwao wanafanyiana hujuma since huwa hawapendani.

time will tell.

Screenshot_2018-11-11-19-59-28-893_com.instagram.android.jpeg
 
i'm 100% sure hii inaweza kuwa ni sabotage. nalisema hili kwasababu siku zote mkenya hapendi kuona mtanzania ana prosper katika kazi zake.

kuna baadhi ya blind patriots wa kikenya wanaumia sana kwenye nafsi wanapoana vijana wanamziki toka tanzania wanapata kandarasi ya ku-perform kwenye event kubwa za kenya.

but pia yawezekana ikawa ni sabotage within kenyan music promoters and event organizers themselves. yaani utakuta wao kwao wanafanyiana hujuma since huwa hawapendani.

time will tell.

View attachment 930116
Mm nikisema hapa hua napondwa ila hakuna mtu anaroho mbaya kama mkenya na hua hapendi kuona tanzania ikinyanyuka sasa kwa bahat mbaya safari hii wamekutana na huyu fundi😂😂😂😂👇👇👇
E30483B1-5477-4F87-B3BC-8DA1CFF2D9E3.jpeg
 
Mm nikisema hapa hua napondwa ila hakuna mtu anaroho mbaya kama mkenya na hua hapendi kuona tanzania ikinyanyuka sasa kwa bahat mbaya safari hii wamekutana na huyu fundi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 930137
anaitwa john pombe magufuli aka chuma aka kiboko ya wakenya.
 
Ahahaha tuoneshe street tofaut na hio ukipata nitag na hio imetengenezwa juzi juzi baada ya shinikizo ya governor joho[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Santa sana...unajua mpka governor joho...hhhhh!!!...eti unamaanisha hzo pavements ziko street moja....
Duh!!zimejaa cbd hzo wacha wivu

Mwanzo kwn zile 3 blue buildings mnaringa nazo ni za 1980[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwa majengo kusanya nairobi + msa+ kisumu+ eldoret + kigali + kampala ndio kidogo mutakua munakaribia density ya dar[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Daadab pia imeshinda dar kw density...unabisha[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14]
 
So unataka kushindana na arusha kwa hotel mm niko tayari chukua kisumu eldoret kisii na upuuzi wote uliobakia alaf pambanisha na arusha kwa hotel uko tayari twende kazi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] utanijibu
Twende diani vs arusha..jst small town vs an ldc city...uko tayari
 
Barabata yenyewe moja tu na imefanyiwa renovation juzi tu anapiga kelele tu humu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hhhhh!!!eti barabara moja....km hujui mombasa kaba
 
Kwanza usiokote picha za google ukasema dar dar hakuna udongo mwekundu sorry for that warudishie hio picha wenye nayo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Mwanzo tz cities ziko na street kwel...au ni posta[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Santa sana...unajua mpka governor joho...hhhhh!!!...eti unamaanisha hzo pavements ziko street moja....
Duh!!zimejaa cbd hzo wacha wivu

Mwanzo kwn zile 3 blue buildings mnaringa nazo ni za 1980[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umekosa street tofaut na hio iliofanyiwa renovation na joho😀😀😀😀😀 mombasa bado sana hata ukija kwenye modernity city haiwezi arusha wala mwanza 👏👏👏
 
Back
Top Bottom