Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama kwenu muwekezaji hujichagulia eneo la kuwekeza hiyo ni kwenu ila kwa upande wetu tukiwa taifa makini tena yakinifu la Tanzania hatupo hivyo huku government ndiyo hutenga maeneo maalum ya ujenzi kwaajili ya viwanda na si muwekezaji kuchoose eneo analopenda yeye kwani sikila sehemu ya ardhi ipo kwaajili ya ujenzi wa viwanda

Unadhihirisha ni jinsi gani ulivyo mjinga na mpuuzi
Investor decides where to put up his/her industries, the government doesn't direct them on where to put up an industry. Investor will consider the following when putting up undustries
1. Security
2.Market
3.Raw material
4. Cost of production
5.Transport ease
6.Labour
7. Space

I repeat, government does not show investors where to put their industries.
 
Kama kwenu muwekezaji hujichagulia eneo la kuwekeza hiyo ni kwenu ila kwa upande wetu tukiwa taifa makini tena yakinifu la Tanzania hatupo hivyo huku government ndiyo hutenga maeneo maalum ya ujenzi kwaajili ya viwanda na si muwekezaji kuchoose eneo analopenda yeye kwani sikila sehemu ya ardhi ipo kwaajili ya ujenzi wa viwanda

Unadhihirisha ni jinsi gani ulivyo mjinga na mpuuzi
It depends on what you are dealing on you fool and that's why you are a LDC
 
Our slums can rival oysterbay and mbezi beach
Huna tofaut na atakaesema amekula keki kwahyo anategemea kunya mavi yenye harufu ya keki muonekano wa keki....
Mavi ni end product of digestion after passing through almentary canal. ..mavi Ni mavi tu harufu mbaya sura mbaya
 
Kazi iendelee
BZUHR1uh.jpeg
2YfjwNJh.jpeg
9MChLw2h.jpeg
6B876Nsh.jpeg
fourth-phase-project-yangshan-deep-water-port-shanghai-shanghai-yangshan-port-adopts-automati...jpeg
DbM1gy3WsAIgN3l.jpeg
 
Ngoja nimtume kijana mwenzangu aje kuwekeza hapo uhuru garden park maana naona kuna space kubwa sana imekaa kichaka na nimezipenda taratibu zenu

Hapo nitawekeza kiwanda cha mifuko, ya niron,kuzalisha mbolea na uzalishaji wa nuclear
It depends on what you are dealing on you fool and that's why you are a LDC
 
Ngoja nimtume kijana mwenzangu aje kuwekeza hapo uhuru garden park maana naona kuna space kubwa sana imekaa kichaka na nimezipenda taratibu zenu

Hapo nitawekeza kiwanda cha mifuko, ya niron,kuzalisha mbolea na uzalishaji wa nuclear
Labda utume wale omba omba wenyu
 
Tanzanians shida ni kucopy south Africa.....lol.kenya is respected in Africa because we copy nobody......
Si ati south Africa wakiweka capital city Pretoria nyinyi pia mnacopy....afadhali Nigeria adopted the model and had the money to develop Abuja to a real city standard.
 
Utoto gani? Hao waturkana ndio walitoa hizo pesa kuwasaidia. That's being selfless mann. Unajinyima angalau wengine wapate.acha dharau
Wewe ndiye mwenye dharau ndiyo maana unashangaa na unaona ajabu kuona waturkana wakiwa wametoa chochote kidogo walicho nacho kwa Tz na hiyo yote kwasababu unawachukulia poa wakenya wenzako,,,katika maisha si tajiri pekee ndiye anayesaidia bali hata maskini pia anauwezo wa kusaidia kulingana na alichonacho swala la wanaturkana kusaidia ni jambo la kawaida sana ..wacha kuwadharau wakenya wenzako
 
Back
Top Bottom