Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dar
DrPfLPmWwAEEKCg.jpg
DrQc1j9WsAAExth.jpg
 
kweli yajayo yanafurahisha....
Umewaachia swali zuri sana hawa walugaluga wakikenya
Unaelewa lugha ya kiingereza lakini?..mwanafunzi wa moi alitengeneza software but whole idea came with Vodafone,lemme ask you something..unadhani hao jamaa wa Vodafone walishindwa kutengeneza software za kuwezesha kutumiana hela?..sitaki unijibu,jibu baki nalo mwenyewe..
 
Tz GDP With gold, diamond/tanzanite,gas water, large tracks of arable land, political stability GDP $49Billion
Kunyaland/Kenya with large tracks of arid and semiarid land, political instability, few natural resources GDP $88Billion
source
 
Yaani wewe tokea juzi umekazana ooh harminize anaringa.....mtu kama anamaringo ni yeye binafsi wewe inakuuma nini....

Halafu nawasiwasi na wewe itakuwa unamtaka mshikaji sema tatizo haupo kwenye level hizo upo level za chini halafu nikijina lakini kimuonekano umezeeka
Hujaribu sana ku~correct wakenya hawa watu. I also write broken English sometimes. I learnt it from harmonize.
Yeye hukam 10/10citizen tv na kuongea kwa maringo sana eti how do you feeling tonight?
 
Tz GDP With gold, diamond/tanzanite,gas water, large tracks of arable land, political stability GDP $49Billion
Kunyaland/Kenya with large tracks of arid and semiarid land, political instability, few natural resources GDP $88Billion
😂😂😂😂👏👏👏👏👇👇👇👇74 vs 52 heheheh👏👏👏👏👏
3D0CD1D0-CDEF-40D8-9759-D80D9AE1BD83.jpeg

183A1A51-E4CC-4571-BA9D-8DC3AC3B8CE4.jpeg
 
Back
Top Bottom