Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakenya acheni ujinga. Nani mtamfanganya kwamba Kenya mmejenga kuliko Dar? Wadanganyeni wasiofika Kenya Nairobi inasifa hii.
Kwanza ......chafu
Pili.....Haina ubunifu msongamano Wa ajabu sana mnatumia old model matatu ya hovyo magari ya hovyo.
Jamu kubwa sana Nairobi mpaka karaha.
Uchafu yaani nenda Uhuru park round about zake utakuta uchafu kila sehemu.
Hakuna jengo lenye ghorofa 45 Kenya hakuna.
Wanasifia saana kuhusu flying over barabara ambazo nonsense ikiwa hamtoi Yale matatu ukiyaona uchafu mtupu.
Angalia kuhusu mawasiliano ovyoo sana.
Kenya bado sana mno
MsIEwCy.jpg
0Kq3CuX.jpg

hizi ndio round about mbili zenye ziko karibu na uhuru park...tuonyeshe uo uchafu uko wapi apo?
 
Wakenya acheni ujinga. Nani mtamfanganya kwamba Kenya mmejenga kuliko Dar? Wadanganyeni wasiofika Kenya Nairobi inasifa hii.
Kwanza ......chafu
Pili.....Haina ubunifu msongamano Wa ajabu sana mnatumia old model matatu ya hovyo magari ya hovyo.
Jamu kubwa sana Nairobi mpaka karaha.
Uchafu yaani nenda Uhuru park round about zake utakuta uchafu kila sehemu.
Hakuna jengo lenye ghorofa 45 Kenya hakuna.
Wanasifia saana kuhusu flying over barabara ambazo nonsense ikiwa hamtoi Yale matatu ukiyaona uchafu mtupu.
Angalia kuhusu mawasiliano ovyoo sana.
Kenya bado sana mno
Halafu hizo wanaita flyovers zipo substandard kinoma. Ukiona wanavyobrag humu utadhani ni za maana..
Ngoja sisi tuwaoneshe the meaning of 'value of money'
Kama hii ya Tazara
IMG_20170422_150135_702.JPG
IMG_20170422_150224_028.JPG
 
Halafu hizo wanaita flyovers zipo substandard kinoma. Ukiona wanavyobrag humu utadhani ni za maana..
Ngoja sisi tuwaoneshe the meaning of 'value of money'
Kama hii ya Tazara
View attachment 499525View attachment 499526
ndugu usianzishe mada ya flyovers mtalia sana apa hadi mtuachie hii jf.....ata mkamaliza izo tazara na ubungo kisha bado hamtatufikia ata robo..how can you compare that shit to this...
32778353115_abde431522_b.jpg
32778335625_0ac1e1b77d_b.jpg
 
Hizo ni Zakishamba sana
hazina hata mvuto
Tutaongea tu
mlicho bakinacho ni hicho na Slum pekee
hakuna lingine
 
Halafu hizo wanaita flyovers zipo substandard kinoma. Ukiona wanavyobrag humu utadhani ni za maana..
Ngoja sisi tuwaoneshe the meaning of 'value of money'
Kama hii ya Tazara
View attachment 499525View attachment 499526

Ubungo ni yakipekee East Africa
Yaani tutakuwa na Flyover ya kipekee EA
Tuna BRT yakipekee EA
Tuna Daraja lakipekee EA
Tuna jenga SGR yakipekee EA

Hapa naona wenzetu wakitushinda Slum
hapo wabaki nazo zakipekee EA
 
Hizo ni Zakishamba sana
hazina hata mvuto
Tutaongea tu
mlicho bakinacho ni hicho na Slum pekee
hakuna lingine
hahaaa..jipe moyo....alafu naskia ubungo nayo mtachimba chini cz the current design is too high ikue kama pangani yenye mnasema sio 3 level.yetu macho.alafu mkimaliza izo mbili za ubungo na tazara jaribuni pia mjenge mwanza na arusha huku kenya tunajenga interchanges msa kisumu mpaka kitale..flyovers tunazieneza nyinyi piganeni na ubungo mkiimba mnakimbia
 
Kitu pekee walicho nacho Kenya hapa hatuna mpango nacho wala kuwa nacho ni Slum pekee!!
Ubungo ndioFlyover yakisasa Kenya,Uganda,Rwanda,Burundi Nk
BRT Ndio usafiri Bora
hakuna Kenya,Uganda,Rwanda,wala Burundi,
Tuna Usafiri wa Boti zakisasa hakuna
Kenya wala Uganda
Tuna kwenda kutumia Treni Yakisasa
Kenya wakitumia Toleo la 1970s
 
Kitu pekee walicho nacho Kenya hapa hatuna mpango nacho wala kuwa nacho ni Slum pekee!!
Ubungo ndioFlyover yakusasa Kenya,Uganda,Rwanda,Burundi Nk
BRT Ndio usafiri Bora
hakuna Kenya,Uganda,Rwanda,wala Burundi,
Tuna Usafiri wa Boti zakisasa hakuna
Kenya wala Uganda
Tuna kwenda kutumia Treni Yakisasa
Kenya wakitumia Toleo la 1970s
just asking,mko na clover leaf interchange bongo kweli?
 
atleast hii yetu ntaelewa juu this is an upcoming cbd yenye roads zinajengwa saa ii uko..with the ongoing rehabilatation of upperhill roads those things wont be there,infact iyo road iliachwa mpaka britam iishe juu excavation ya iyo road ingesumbua ujenzi wa britam...yenu bana iko ndani ya cbd...what the hell
Usituchoshe bana..... we si ulikua unaongelea nyaya za umeme sa sim? Imekuaje umerukia "rehabilitation of upperhill roads" Baada ya kuonyeshwa nairobi ina same thing?.
 
Usituchoshe bana..... we si ulikua unaongelea nyaya za umeme sa sim? Imekuaje umerukia "rehabilitation of upperhill roads" Baada ya kuonyeshwa nairobi ina same thing?.
cz rehabilitation ya roads ndio inaenda sambamba na kuondoa izo nguzo kwenye barabara....ooh!!!! I almost forgot that common sense is not common to all people..hehee.waambie wenzako wasafishe cbd
 
Back
Top Bottom