Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ahonge nani? Musicians live fake lives and majority are free masons kwanza hao wachafu members. Hormones confessed kule Instagram. Na sasa hivi amekosa hela za kulipa hoteli. Maskini hohehahe
si mumeshindwa kumlipa pesa zake munajifanya munajua kuita wasanii na pesa hamuna๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ’‰๐Ÿ’‰๐Ÿ’‰๐Ÿ’‰
 
Nani ametaja Jenerose. Naongelea hio chura inaitwa aslay. We ni mwanaume ama mmama. Hii Udaku uko nyo imenishtua, sasa kama hapa JF unaudaku hivi je in reality
Janerose njoo muone huyu jamaa anasema eti wewe unaishi mashinani huko turkana,lodwar huko kwenye funza na njaa
Anasema eti watu wanaomjua aslay ni wachunga ng'ombe,na we unamjua aslay!
Eti Jane we unamjuaje aslay wakati unaishi Nairobi??
 
Nkt! Wahindi ni jamii kenya just like black Americans in the US. Wahindi wako kenya ni wachache sana, they don't even make 2% of Kenya's population. The super tribes are...
*Kikuyu-22%
*Luhya-15%
*LUO-14%
*Kalenjin-12%
Wahindi wako wachache sana. Wahindi huesabiwa na foreign races kwa ujumla ambao huwa 1% of the population.
Diwali sherehe ya kanjibhai hiyo,naona wahindi wana takeover Nairobi..hahahaaaahaaaa
 
Nani ametaja Jenerose. Naongelea hio chura inaitwa aslay. We ni mwanaume ama mmama. Hii Udaku uko nyo imenishtua, sasa kama hapa JF unaudaku hivi je in reality
Nimegundua aslay anawaumiza kichwa sana watu na bodaboda wanamkimbilia kama president, muwaambie wasanii wenu waache kuimba mziki ugly..
 
Julius Nyerere International Airport Terminal 3 now 85% complete, capacity 7ml annual Passengers,
Will make JNIA The Largest and Modern Airport in East and Central Africa with capacity of 10mn pax

This Good Job is done by BAM international , from Netherlands,
Lesson: Do not give Chinese all your projects.

IMG_0575.JPG
IMG_0582.JPG
IMG_0571.JPG
IMG_0561.JPG
IMG_0572.JPG
IMG_0559.JPG
IMG_0568.JPG
IMG_0565.JPG
 
Back
Top Bottom