Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
Ulale sasa maana wengine bado kabisa tupo kwa party kidogo tunaenjoy japo kesho ni work day ...tunajimiliki
Goodnight
Goodnight
Bado mapema. Hapa Kenya watu hawalali. Ni wale wazembe tu hulalaUlale sasa maana wengine bado kabisa tupo kwa party kidogo tunaenjoy japo kesho ni work day ...tunajimiliki
Diwali sherehe ya kanjibhai hiyo,naona wahindi wana takeover Nairobi..hahahaaaahaaaa
Wap pichaKariakor looks like Esatlands.
Bado mapema. Hapa Kenya watu hawalali. Ni wale wazembe tu hulala
Wap picha
Yeah the same to that one named Kenya airways but owned by K.L.M!View attachment 919746
Royal Dutch Airlines had to name this bird after the beautiful City of Nairobi
sio tena mathare😂😂😂 hii ndio ufananishe na kariakoo💉💉💉💉Kariakor looks like Esatlands.



wakenya some time waache upuuzi aisee
Kama ni kwenu kisingizio ni hiyoZamani sana umebugi hapo hiyo ni 2000
Kariakoo hata parking ya baiskeli hamna



Kama ni kwenu kisingizio ni hiyo