Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

IMG_5464.JPG
 
Wengi wenu humu mnajificha nyuma ya keyboard oooh nmeshafika Arusha na Moshi hahaha
Kama vile wengi wenu hujifanya wamejua Kenya. Juzi tulimvumbua kadoda11 akiiba picha za watu online akijifanya eti ni yeye anazuru Kenya. Shida jamaa mwenyewe anaai amepigwa picha na hajui hata hiyo ni sehemu gani ya Kenya.
 
Nmewah kutana nao baadhi huja kutanua tu na kubadili mazingira,wengine ni wafanyabiashara wa vitunguu na mazao kama mahindi nk huja kulangua wanasafirisha,jamaa wanajua biashara na kutanua kwelikweli na kingereza mob
that's how we roll
 
Kampala is more developed than mwanza by far ,has organized suburbs and nice skyline ...sioni sababu ya kuweka mwanza kwenye league ya Kampala,Kampala inazidi hadi Adis Ababa, sina hakika kuhusu Mombasa lakin bado naona Kampala sio pa kuchezea
You were right until you mentioned Addis Ababa. Addis Ababa is one hell of a city my friend.
 
Ur CS mentioning Tanzania in April before now realising 60% of ur stock imeoza!


I see how much Kenya means to you. Now you'll be running all over seeking any instance a Kenyan mentioned Tanzania. Naona kweli Kenya ni Baba yenu.
 
Back
Top Bottom