Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Haikubaliki kumsapoti huyo mbaguzi wa rangi wa kichina over mkenya. Tuwe na mipaka aisee.
bro wakat mwingine mkenya anastahiki hawa watu wanaroho mbaya sana seriously am telling u na kama utabahatika kufika kenya ndio siku hio utajua nayokueleza hapa
 
Hhhh!!!naona wajileta pole pole sasa..haya wewe niletee hyo link ambayo haimiliki ndege zote...
unajua sababu ya loss inayowatafuna au nikuletee ushahidi wa loss hio😂😂😂😂👏👏👏👏👏💉💉💉💉 kwangu mm hutajitoa akili ntakutibu na akili zako timamu
 
ndio kazi ya serekali kuongoza nchi ndio maana tanzania kua afford a land is very easy je kenya???? vp kuhusu kenyatta kumiliki robo ya kenya hushangaina vp kuhusu white settlers hehheheh bado unandoto ya kujenga nyumba wewe????
View attachment 915441
Hhh!!!eti serikali ndo kazi tao....uhuru wa kumiliki ardhi kenya hauna kikomo...hhhhhh!!!unaishi kw nchi yako km mtumwa...hebu post video ukiuliza ******** vp safari za drimulaina kwenda india..au zinafanya km daladala..nakuapia utalala ndani kesho asubuhi
 
ahahaha maana nimecheka sana mlivo wajinga ikiwa wakurugenzi wenu wanakwambia kilichosababisha hasara kq ni leased aircrafts sasa nashangaa nyie leo hii munajifanya punguani
Kwhyo ile statement umeielewa ni ndege ngapi km great thinker
 
Hhh!!!eti serikali ndo kazi tao....uhuru wa kumiliki ardhi kenya hauna kikomo...hhhhhh!!!unaishi kw nchi yako km mtumwa...hebu post video ukiuliza ******** vp safari za drimulaina kwenda india..au zinafanya km daladala..nakuapia utalala ndani kesho asubuhi
mtanzania anamiliki ardhi kwa miaka 99 so kwa akili yako ww unaeza ishi miaka 99??? unajua sababu yake nini??? hii nchi haikupitia ubepari kama nyie ndio maana munauwana kisa ardhi kila siku leo nashangaa kuona rais anamiliki robo nzima ya kenya and uko hapa unaota wewe kupata ardhi na kujenga????😂😂😂😂😂💉💉💉
 
Kwhyo ile statement umeielewa ni ndege ngapi km great thinker
ndege zote kwasababu hujaniletea ushahidi kua kq inamiliki ndege yoyote na kama ipo niletee leo nikukamue uharo😂😂😂😂💉💉💉💉💉
 
1540834346907.png
KLM named one of their Boeing "city of Nairobi"
 
unajua sababu ya loss inayowatafuna au nikuletee ushahidi wa loss hio kwangu mm hutajitoa akili ntakutibu na akili zako timamu
Sitaki loss..nataka idadi ya hzo leased aircrafts...hhhhhh!!
Kuhusu loss najua..ila idadi ya hzo leased aircrafts yaonyesha waifahamu..hebu nijuze great thinker
 
😂😂😂 wengine walimvamia mchina hawakujua china ilisaidiwa na tanzania kwenye mambo mengi ya kihistoria😂😂😂😂😂💉💉💉💉💉💉

Haikubaliki kumsapoti huyo mbaguzi wa rangi wa kichina over mkenya. Tuwe na mipaka aisee.
Ichoboy ni mchochezi. Hajawahi fika Kenya. Wakenya hawana roho mbaya. Nakuhakikishia hili. Don't let him control your thoughts. You will end up hating people for no reason
 
bro wakat mwingine mkenya anastahiki hawa watu wanaroho mbaya sana seriously am telling u na kama utabahatika kufika kenya ndio siku hio utajua nayokueleza hapa
Hhhh!!asikudanganye hyo...wabongo wengi sana kenya...na hawajalalamika kuhusu wao kuwepo kenya..ila wakenya bongo wanapelekwa mbio kishenzi..kisa babu zenu waliwahadithia kuwa wakenya wana roho mbaya
 
Back
Top Bottom