Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

man its hard being ichogal right now,someone should get him tampons
ahahaha kwanza nafurah kuona mukihangaika kutumia ndege za kukodisha kufuta machozi ya hasara za kq na zaidi kilichoniskitisha nusu ya abiria kwenye ndege walikua viongozi wa nchi na viongozi wa kq 😂😂😂😂👏👏👏👏
 
1540826634129.png
 
maelezo yako wazi kabisa aliandik hapo sio mjinga kama unavofkiri wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]
View attachment 915281
Si basi angeandika available for rent to ambassadors only[emoji23] [emoji23] huyu msee hureason kama mtoi aki
 
ahahaha kwanza nafurah kuona mukihangaika kutumia ndege za kukodisha kufuta machozi ya hasara za kq na zaidi kilichoniskitisha nusu ya abiria kwenye ndege walikua viongozi wa nchi na viongozi wa kq [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
sawa babjer,ungeaza kushangaa how u reason like

1.A fool
2.An idiot
3.All of the above [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Si basi angeandika available for rent to ambassadors only[emoji23] [emoji23] huyu msee hureason kama mtoi aki
amejaribu kutafuta mwanya pakutokea lakini wapi! sijaona mtu mjinga kiasi hiki. mtu kama huyu anafaa kuwa castrated asisambaze huu ujinga kwa mtu mwingine.
Namuuliza a very simple question, rent ya hiyo nyumba ni hela ngapi?? apange ambassador au mwizi, rent ni how much.
 
Boeing 787 zote ni za Kq. Kiherehere ya mdomo uwache.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mukiambiwa ukweli munalia sasa ulitaka tuwatie ujinga wakat sio za kwenu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] au kwenu muhimu sifa tu
 
Back
Top Bottom