Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

nyali imekosana 5000 usd per month [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] kwanza kubali tuendelee
A wapi...km nyumba za nyali bei mbaya hvo itakosa kwel..hta kufikiria hujui kumbe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ukubwa wa dar nairobi inaingia mara mbili,ukizingatia nairobi haina density ya majengo ni misitu tu na maeneo mengi yapo open...
Nairobi is old school..
Jibu hoja...leta ukubwa wa urban centre hapa..wacha longo longo
 
sikushangai aibu ulioipata wewe nyali hakuna nyumba ya 5000 usd per month 😂😂😂😂😂💉💉💉💉💉
IMG_20181029_112313_913.JPG


ahadi ni deni!! utahama jf lini??
 
Buda uwivu itakumaliza[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
wow leased aircraft mwenye ndege kakaa pembeni anakula kuku nyie munahangaika na madeni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Bo
wow leased aircraft mwenye ndege kakaa pembeni anakula kuku nyie munahangaika na madeni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
787 gani ya Kq iko leased pundaii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
humbwer ghasia takataka! sasa unehamisha goal post "ati nyumba inakodeshwa na mabalozi".
***anayekodesha nyumba anadai hela ngapi kutoka kwa mpangaji, iwe balozi, muuza mihadarati, mwalimu, rais, etc? ukijibu hilo swali, na uhame jf kama ulivyo ahidi.


****nyumba kuwa ambassadorial haimaanishi ni ma ambassador wanaishi humo ndani! bongolala education is just sh!t wallai.
so yatoe basi maelezo ya ambassador unafkiri alioeka hvo ni mjinga 😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom