Hii battle imewakalia pabaya. Muda sio mrefu wataomba likizo kwa kuweka mgomo alafu ghafla waludi tena😂😂😂kwan nairobi sio city??? unaposema dar city ukubwa wake ni 1600km sq na unaposema nairobi city ukubwa wake 696km sq na nusu ya 696 km sq ni pori😂😂😂😂 alaf munataka kajiadoo county na machakos iwe nairobi munawaza mambo makubwa madogo yanawakamua mikojo