mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 32,086
- 39,573
First fight tungiasis in southern Tanzania. Wakaazi wa huko hufikiri wamerogwa
Try to see how this is serious
First fight tungiasis in southern Tanzania. Wakaazi wa huko hufikiri wamerogwa
Hta ni huruma walai...hii nayo inaitwa city...kunywa na hii. Capripoint, Mwanza, mu second home away from DarView attachment 913154View attachment 913155View attachment 913155
mwambie aliyeleta hizzo data atuonyeshe source ya data zake, kazipika tu huyo, hata mimi naweza kutengeneza hivyo vistatistics au hatakama hajazipika basi source yake ni unreliable, ni kama ile source mliyokuwa mnaleta kuwa eti kenya in 40 million internet usersUchawi wenu international...yani nchi nzima ni wachawi
It's a city yes, kwani wewe undhani nini maana ya city?Hta ni huruma walai...hii nayo inaitwa city...
Hta ni huruma walai...hii nayo inaitwa city...
Kazipika wapi na ilhali wachawi wenu wamefungua matawi kenya nzima...yani international[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji382] [emoji382] [emoji382] [emoji382]mwambie aliyeleta hizzo data atuonyeshe source ya data zake, kazipika tu huyo, hata mimi naweza kutengeneza hivyo vistatistics au hatakama hajazipika basi source yake ni unreliable, ni kama ile source mliyokuwa mnaleta kuwa eti kenya in 40 million internet users
they had to upgrade coz Kplc waliondoa zile posts za miti na ku-replace na concrete. so sio rahisi kuenda kudungilia jibao na msumari hapo kwa concrete.Mganga kutoka tanzania..mara natibu kazi,mapenzi,kuwa tajiri...mazee kenya nzima hukosani na ilani km hz...
Alafu siku hz wame upgrade...huzungusha vikaratasi vyao hadi cbd...kisha hvo vikaratasi huzungushwa na watoto mazee...
Yani hawa jamaa hutoa watoto kwao kuja kuomba na kuzungusha vikaratasi vya uganga
Duh!!!mko nyuma sana aiseeIt's a city yes, kwani wewe undhani nini maana ya city?
We pia naskia ni mchawi..Fight this nationwide.
Wewe wasema, halafu hujui kuwa kuna wachawi na waganga wa kienyeji, sasa sijui unarefer kwa wachawi wanaopaa usiku au maana inaonekana unawajua sana au mwenzetu mchawi?Kazipika wapi na ilhali wachawi wenu wamefungua matawi kenya nzima...yani international[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji382] [emoji382] [emoji382] [emoji382]
Duh!!hapo umesema kwel...kisha watoto wadogo sana mtu wangu...wanadhulumu sana watoto hawa jamaa..kisha hushinda wa kisema wao ni wakarimuthey had to upgrade coz Kplc waliondoa zile posts za miti na ku-replace na concrete. so sio rahisi kuenda kudungilia jibao na msumari hapo kwa concrete.
Nyuma katika nini hasa? mnalo jengo kama hilo mombasa au kisumu, kama mnalo nitagDuh!!!mko nyuma sana aisee
Hayo majina tu...tangu lini mtu kutibiwa kupata kazi,kuwa tajiri,mapenzi endi mke au mume azidishe mapenzi...Wewe wasema, halafu hujui kuwa kuna wachawi na waganga wa kienyeji, sasa sijui unarefer kwa wachawi wanaopaa usiku au maana inaonekana unawajua sana au mwenzetu mchawi?
Jengo si kitu...hta mtu binafsi anaeza jenga huo upuuzi...estates ziko wapi...Nyuma katika nini hasa? mnalo jengo kama hilo mombasa au kisumu, kama mnalo nitag
Hey young man, we aren't comparing villages here. Hiki kijiji peleka mbali.here comes MwanzaView attachment 913147View attachment 913148
mchawi mwenyewe, mimi ni devout christian na mambo ya hivyo siamini kabisaaHayo majina tu...tangu lini mtu kutibiwa kupata kazi,kuwa tajiri,mapenzi endi mke au mume azidishe mapenzi...
Duh!!yaonyesha basi wabongo wote mwaamini ushirikina...yani wauita uganga...
Wachawi nyinyi
Kwani nani hajui nyinyi ni wachawi???hahahahahahaha acha utoto, Mungu anakuona ujue, unahukumu na huna uhakika na kilee unachosema
Basi mbna una support..eti hao ni waganga wa kienyeji...!!![emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji382] [emoji382] [emoji382]mchawi mwenyewe, mimi ni devout christian na mambo ya hivyo siamini kabisaa
Lakini yenyu inalead na 92%hiyo ni experience yako, hakuna sehemu hapa duniani ambapo hamna witchcraft, hata in the UK witchcraft ipo tu so usijeniambia kuwa kenya hakuna nitakuaibisha hapa
Tengeza zako ulete we are waiting.mwambie aliyeleta hizzo data atuonyeshe source ya data zake, kazipika tu huyo, hata mimi naweza kutengeneza hivyo vistatistics au hatakama hajazipika basi source yake ni unreliable, ni kama ile source mliyokuwa mnaleta kuwa eti kenya in 40 million internet users