Janerose mzalendo
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,881
- 2,813
Wewe ni mtalaam kweli. Jina lako linaendana na tabia zako. open minded Tanzanian. Elimisha wenzako waache kukimbiza vivuli vyaoKujilinganisha na Nairobi ni sawa kuchukua Keki na Mkate ulinganishe ladha,Nairobi ina finished projects nyingi nzuri,alafu sisi ndio tunaanza project tena chache,wakitupatia project zao mpya wanazotaka kuzianza tutakimbia