Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

and am sure that 20% arable is for kenyatta + white settlers[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] waliobakia wote kwangu pakavu tia mchuzi[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Kampuni zote bongo za wahindi na waarabu.....hhhh!!!
Yani bongo ukiskia mtu ni millionaire kitu inakuja kw akili ni mhindi au muarabu
 
kutafuta slum dar ni sawa na kukimbiza kivuli chako atakaeniletea slum yoyote kwa google earth kama hii wallah nafunga account jamii forum[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

View attachment 909405
Mko ldc tayari..hyo inasimamia ya kwamba bado mko nyuma kimaendeleo...
 
Mnapinga UN na world bank sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]when it hits home it hurts[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hatimaye umeamua kudhihirisha ni kiasi gani wewe ni kiazi,eti unasemaje???

[emoji13][emoji1][emoji13][emoji13][emoji38][emoji38][emoji38]hivi kati ya kenya na angola ni nchi ipi ina idadi kubwa ya masikini??? Napima elimu ya kenya sasa.watz fuatilieni hii debate.
 
kua LDC maana yake hamuna maendeea ryt[emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]sindio budaa
Hhhhh!!!umeumwa...mko nyuma kimaendeleo...hhhhh!!km flyover ya kwanza mnapata 2018
 
Nairobi bomba kila sehemu....25km from cbd
download.jpeg
 
Mnapinga UN na world bank sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]when it hits home it hurts[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

UN na WB wako watu pia,yafaa uiache akili yako ifanye kazi usiwe kama mdori.

Nipe idadi yamasikini kenya.nasubiri.
 
Who's watching kano pillars vs rangers international [emoji95][emoji95][emoji95][emoji95]
 
Back
Top Bottom