Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]poleni kwa kuvuta mkia dunianiView attachment 909665View attachment 909666
B1E6C209-34BD-451B-B8EC-FFFD4A7304E9.jpeg
 
Tz ni Dar just like Angola is Luanda. Sudan's GDP is high but the nation ia a disaster. Wadosi wote kutoka Sudan wametoroka na mali na kuzileta kenya. Kenya imejitahidi as a whole nation na ndio maana Kisumu iko mbele ya mwanza na Mombasa iko mbele ya Kampala na Kigali kwa infrastructure na economy. Kenyan roads are now almost completely paved. Road works allover hadi kusiko fikika. Then you expect Tz to compete with kenya, where Magufuli is constructing "Madaraja".[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Angola is a very poor country my friend....forget the luanda fallacy.least developed countries is measured based on number of middle class and infrastructure development........not only GDP
Nimefika northern Tanzania na ni hali ya kusikitisha....
 
Tz ni Dar just like Angola is Luanda. Sudan's GDP is high but the nation ia a disaster. Wadosi wote kutoka Sudan wametoroka na mali na kuzileta kenya. Kenya imejitahidi as a whole nation na ndio maana Kisumu iko mbele ya mwanza na Mombasa iko mbele ya Kampala na Kigali kwa infrastructure na economy. Kenyan roads are now almost completely paved. Road works allover hadi kusiko fikika. Then you expect Tz to compete with kenya, where Magufuli is constructing "Madaraja".[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
so angola 120b usd na 23m population kwann wapo LDC unaeza nijibuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†
 
team changa kabisa tanzania ina bus zuri kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 909609View attachment 909610
kwa kuwasaidia hawa nugu na majobless ya nairobi ni kwamba alliance fc imeanzishwa miaka ya 2000 na imeingia rasmi katika tanzania premier league season hii ya 2018-2019 but ni timu inayomiliki bus zuri na la kisasa kushinda hata bus la gormahia fc iliyoanzishwa mwaka 1968.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Screenshot_2018-10-24-20-04-48-335_com.opera.browser.jpeg
Screenshot_2018-10-24-20-39-44-314_com.opera.browser.jpeg
 
Hhhhh!!!umeumwa...mko nyuma kimaendeleo...hhhhh!!km flyover ya kwanza mnapata 2018
flyover ndio maendeleo kweli na hawa watu vp au ni monkeys hawana thamaniπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰ au kwenu maendeleo ni watu kufa na njaa

kwa kuwasaidia hawa nugu na majobless ya nairobi ni kwamba alliance fc imeanzishwa miaka ya 2000 na imeingia rasmi katika tanzania premier league season hii ya 2018-2019 but ni timu inayomiliki bus zuri na la kisasa kushinda hata bus la gormahia fc iliyoanzishwa mwaka 1968.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 909677View attachment 909678
😳😳😳😳😳miaka 50 alafu haina hata banda la choo
 
so angola 120b usd na 23m population kwann wapo LDC unaeza nijibu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]
Nawewe unaeza jibu kwnn tz ni nchi ya maziwa na asali na wakati iko ldc...hhhhhh
 
so angola 120b usd na 23m population kwann wapo LDC unaeza nijibu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bro hajui hata ni kwanini,anasema eti no ya watu wenye maisha mazuri ndio kigezo huangaliwa.

Sasa agiza akuletee idadi ya matajiri angola/total pop na idadi ya matajiri kenya/total pop kisha tuchambue kwa asilimia,hapa ndio utajua kenya wanasoma ku graduate[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom