Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

flyover ndio maendeleo kweli na hawa watu vp au ni monkeys hawana thamani[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382] au kwenu maendeleo ni watu kufa na njaa

Hhhhh!!!umeumwa....tuma tena hyo picha km itawatoa ldc
 
Tz ni Dar just like Angola is Luanda. Sudan's GDP is high but the nation ia a disaster. Wadosi wote kutoka Sudan wametoroka na mali na kuzileta kenya. Kenya imejitahidi as a whole nation na ndio maana Kisumu iko mbele ya mwanza na Mombasa iko mbele ya Kampala na Kigali kwa infrastructure na economy. Kenyan roads are now almost completely paved. Road works allover hadi kusiko fikika. Then you expect Tz to compete with kenya, where Magufuli is constructing "Madaraja".[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hawa wasee hawajawahi kanyaga kenya.....ni bidii tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bro hajui hata ni kwanini,anasema eti no ya watu wenye maisha mazuri ndio kigezo huangaliwa.

Sasa agiza akuletee idadi ya matajiri angola/total pop na idadi ya matajiri kenya/total pop kisha tuchambue kwa asilimia,hapa ndio utajua kenya wanasoma ku graduate[emoji23][emoji23][emoji23]
mpe hiii apumzike😂😂😂👇👇👇
5EB36397-3C3E-4420-9B1F-09B0AF3B09D2.jpeg
BB6B0FE5-ADED-42C2-88A4-BE9F0A190F51.jpeg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bro hajui hata ni kwanini,anasema eti no ya watu wenye maisha mazuri ndio kigezo huangaliwa.

Sasa agiza akuletee idadi ya matajiri angola/total pop na idadi ya matajiri kenya/total pop kisha tuchambue kwa asilimia,hapa ndio utajua kenya wanasoma ku graduate[emoji23][emoji23][emoji23]
Vp kuhusu fertile land na bado mko ldc na maskini wengi..nahitaji kujua
 
Hhhhh!!!umeumwa....tuma tena hyo picha km itawatoa ldc
labda nikupe history tanzania ilipoteza nguvu zake nyingi sana kuwasaidia nchi za afrika kupata uhuru na pia tanzania ilisubiri sana kutumia rasilimali zake ili ihakikishe vijana wanasoma ili kuja kutumia rasilimali za nchi ndio maana unaona leo hii tanzania ina watu million 54 lakini haina shida kwenye mambo ya unemployment cha kushangaza muko 47 ila muna unemployment rate over 40%😂😂😂😂😂👏👏👏👏👏
 
hehehhe jibu la angola umelikosa kumbe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Wacha kuruka ruka...mtu wa ldc huaga hana fikra za mbali..hutaka kujuwa ya wenzake na yake hayajui....fertile land na bado mko ldc
 
Wacha kuruka ruka...mtu wa ldc huaga hana fikra za mbali..hutaka kujuwa ya wenzake na yake hayajui....fertile land na bado mko ldc
lakini tanzania ukumbuke imeanza kudevelop for just 13 yrs ago hilo ulijue pia😂😂😂😂 lakini inakutoeni kamasi hapa
 
labda nikupe history tanzania ilipoteza nguvu zake nyingi sana kuwasaidia nchi za afrika kupata uhuru na pia tanzania ilisubiri sana kutumia rasilimali zake ili ihakikishe vijana wanasoma ili kuja kutumia rasilimali za nchi ndio maana unaona leo hii tanzania ina watu million 54 lakini haina shida kwenye mambo ya unemployment cha kushangaza muko 47 ila muna unemployment rate over 40%[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Ila!!!hhhh!!nmecheka sana...yani mna kazi na bado maskini ni wengi...
 
Keeping in Mind Kenya hosts over 30,000 refugees from Ethiopia alone, 44,000 S.Sudan refugees and 492,000 Somali refugees! In northern Kenya. Some of these poor communities you are posting here originated from war torn countries bordering Kenya who seek refuge in Kenya.
MLDC hvi kweli??[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

 
Back
Top Bottom