Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hata uku ipo mim nimekuchokoza tu.......usijijaze
 

some of the houses. check out those villas.
Nimepost sample from Karen, Muthaiga, Lavington. Sijaweka enough, will add more later
 
Yarabi, kumekuwa na taarifa kwenye KTN kuhusu Dar is Slum, imenichukiza sana! Hili soko kweli ni chakula cha watu kinauzwa huko??

Kuanza leo nikisikia Mtazania anaongea kuhusu Kibera nitajua ni mwehu daaah, wacha tukae tukijuzana uzuri wa majiji yetu, sababu daah!! Hii noma vile
 
Kibera ni untouchable, kibera Nairobi Ile ndio inareflect wakenya choka mbaya wanavyoishi!!mnatisha mnahitaji tuzo
 
Kibera ni untouchable, kibera Nairobi Ile ndio inareflect wakenya choka mbaya wanavyoishi!!mnatisha mnahitaji tuzo
Mimi nimekwambia, ama unataka niweke video??? Haina haja nyinyi kushinda mkiongea kuhusu Kibera, ama vichwa vyenu vitakuwa havina akili razini!! Maana kile nimekiona, hasa na wakazi wa pale wanavyosema, afadhali Kibera, Ujue Kibera ya sahi imeundwa, nyinyi mnaona picha za 2012 kurudi nyuma, kuna program inaitwa Kibera renewal Project barabara sahi za lami, maji ya mfereji seawer systems na ujenzi wa nyumba.
 
Haha kibera inawauma[emoji38][emoji38]
kwahyo hutaki tuiguse sio?
 
Haha kibera inawauma[emoji38][emoji38]
kwahyo hutaki tuiguse sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…