Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

sema fundi maiko 😂😂😂
1792096033780.png
 
You guy’s education must be terrible.
With your dumb reasoning, USA would be behind many African countries considering it’s $40 trillion debt is 126% of its GDP, but yet it’s the biggest economy on earth 🫠

Yaani mliambiwa hio deni ni ya kulipwa kwa mwaka moja? Have you ever run a company? How do you understand debts or loans exactly? Kenya has always honored its debt obligations, I don’t even know whyyou guys think it’s brilliant to bring up debts🤣
View attachment 3691401
Uchumi wako na USA unafanana!?
Mpuuzi wewe USA ni world economic power house. Ana silaha ya dollar katika kila nyanja ya geo-economics.
Aya wewe una silaha gani kiuchumi kupambana na hali yako ya madeni!?
 
Jamaa ni matako kweli yani bila aibu anajitutumua eti Marekani wana madeni zaidi ya GDP yao. Khaaa! Anafananisha nchi inayoongoza kwa uchumi duniani ambayo inafanya dollarization kwenye geo-economics na nchi yake ambayo hata dawa za TB zinamshinda.
uyo ni fala tu anasubiria unga ushuke apate chochote kitu maaana akili zake za uji
 
skia hii kipara 😂 😂 😂 hizi ni kunguni airways 😂😂😂

View: https://x.com/KenyaAirways/status/1892146660442018041

View attachment 3691453

Ushai ona KQ iki operate a narrow body on those long haul flights? They operate the 737-800 regionally.. KQ operates only the 777-300ER and 787-8 fleet to London..unafikiria ni economical kubeba 129 passengers to all the way to London?
saaahv mnaexport mpaka kunguni london 😂😂
View attachment 3691456
Hata author ashakufanyia clarification hapa, if you cared to be thought for..

View: https://x.com/mastardcesh/status/2110382623017030012?s=46
 
Ushai ona KQ iki operate a narrow body on those long haul flights? They operate the 737-800 regionally.. KQ operates only the 777-300ER and 787-8 fleet to London..unafikiria ni economical kubeba 129 passengers to all the way to London?

Hata author ashakufanyia clarification hapa, if you cared to be thought for..

View: https://x.com/mastardcesh/status/2110382623017030012?s=46

Sio swala la ulishaona si umepewa picha za kq ikiwa na dark seats kutoka kwenye official page, usianze sasa kutuuliza kama inaenda london ama mathare because we arent KQ, and also the author ni mtu wa kenya itsnot like some random dude who just posted but pia swala la kunguni sio story mpya, hio ni part ya maisha ya mkenya
 
Back
Top Bottom