Humu JfKuna jambo huwa sielewi, wasanii wabongo video zao za nyimbo hawafanyi kule Dar?? Kunani, Sio kama wasani wa Kenya wanachapa video hapa hapa jijini Nairobi.
tunatawanya market bro isambae ndyo maana tumewaacha kwenye mziki....na hata mfano mnao hao jiulize kwanin sauti soul angalau wamefanikiwa.....ni nyimbo gani iliyowaletea mafanikio kuliko zote na hyo nyimbo video walitolea wapi...?....na kingine si kila video wabongo hutolea nnje....Kuna jambo huwa sielewi, wasanii wabongo video zao za nyimbo hawafanyi kule Dar?? Kunani, Sio kama wasani wa Kenya wanachapa video hapa hapa jijini Nairobi.
kwani uwongo huyo haishi hapo ...Ulijuaje haishi hapo??
safi sana mkilijenga ni pongezi kwenu east africa kwenye building tutavutia nasisThis 44 Floor tower is being done by Moi University to be their City Campus and offices. It is right opposite the Uhuru Park, next to intercontinental and Parliament Towers
Hao sauti wenyewe bila kushirikiana na Mbongotunatawanya market bro isambae ndyo maana tumewaacha kwenye mziki....na hata mfano mnao hao jiulize kwanin sauti soul angalau wamefanikiwa.....ni nyimbo gani iliyowaletea mafanikio kuliko zote na hyo nyimbo video walitolea wapi...?....na kingine si kila video wabongo hutolea nnje....
tupo vizuri bro ndyo maana twasonga ile ni tecnic...[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Hao sauti wenyewe bila kushirikiana na Mbongo
wasingeli pata hata views zile walizo pata youtube
hawana wimbo wenye views zaidi ya 4m
Nairobi Hahahaha
Jengo lina 200m
Mnara una 60m!!?
Du!!
uyoo ...kausha tuachane na hayo ila umekula msosi wa mchana kweli maana nawasi wasi na wewKenyan artists are not interested in Youtube Views as that is not their source of income. The likes of |Diamond who makes their accounts premium to attract more viewership!! Very poor indeed
Hivi ndio vitu tunataka kuviona east AfricaThis 44 Floor tower is being done by Moi University to be their City Campus and offices. It is right opposite the Uhuru Park, next to intercontinental and Parliament Towers
Naamini ni hivyo, ila sijapendehswa sana na hii architecture. Mbona utumie pesa nyingi kujenga jengo hata halina sura nzuri, it is just a wasted opportunity!! Sijapenda huo muingiliano wa pink na blueHivi ndio vitu tunataka kuviona east Africa
Mimi si msanii na Videos zangu kwenye account yangu ya Youtube zinapiga 33,000!! Na hata sijamonitizeuyoo ...kausha tuachane na hayo ila umekula msosi wa mchana kweli maana nawasi wasi na wew
But i Like this one, being done by the Government. CBK Pension Towers. Land acquired, designs done, NEMA Approved, Public participation done, excavation in few daysHivi ndio vitu tunataka kuviona east Africa
Diamond ameinua uchumi wa nchi yenu???Humu Jf
kuna Vila*za 5kutoka kenya
wewe namba 3
wengineo wanajitambua!!
Bongo flava inamiaka mingi ikitoa video zake Tanzania
kuchanganya mandhari ikabidi watu waende nje ya Tanzania
na si kila wimbo lazima nje ya Tanzania.
Nyie mna lipi lamaana kwenye music
kama kina BAHATI
Ndio super star!!
Kweli mnasafari ndefu
Itakua na m ngapi iyo...design nzurBut i Like this one, being done by the Government. CBK Pension Towers. Land acquired, designs done, NEMA Approved, Public participation done, excavation in few days
Sura yako ilileta sauti Sol juu...alafu video zenu mingi mnatoa Kenya ama south Africa hata hamjivunii nchi yenutunatawanya market bro isambae ndyo maana tumewaacha kwenye mziki....na hata mfano mnao hao jiulize kwanin sauti soul angalau wamefanikiwa.....ni nyimbo gani iliyowaletea mafanikio kuliko zote na hyo nyimbo video walitolea wapi...?....na kingine si kila video wabongo hutolea nnje....
tupo vizuri bro ndyo maana twasonga ile ni tecnic...[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
30 floors, Lakini sijapata ufahamu wa urefu kwa meterItakua na m ngapi iyo...design nzur
Jozi itakuja kupitwa kwa majengo marefu...sema wale wametuacha kila kitu bana yani hua ndio hua naona ji channgamoto yetu kubwa30 floors, Lakini sijapata ufahamu wa urefu kwa meter