Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Toka jana nimekuuliza kwenu huko ni matajiri wakikuyu pekee ndio wanamiliki magari,hukushtuka ulivyo zuzu umekuja tena na sera yako hii leo.

Wewe una gari???
Heheee!!hv mombasa na kisumu pia ni ya wakikuyu...heheeee!!!..
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚bra bra aache. Atavaa nini basi? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚bla bla
 
Duh!!yani dar haina hadhi ya kuitwa city...km nje ya cbd ni uchafu km huu karibia 3/4hii kali...kujeni mutume kibera
hujui kama dar ni sukari ya warembo kama weweπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cheap people Kama wewe hamuwezi kula pweza ,kuleni sukuma wiki Kwa kwenda mbele mkiimba mido inkamu Kama kawaida yenu
Disgusting!!!!!!Despite you eating all these filthy sea animals your country leads in having the highest number of children with malnutrition. Where are those people who were bragging here? That they are scientists? Did they not learn about nutrition?
 
mbona kama harufu ya ukoloni imerudi kwa wenzetu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]

hii ni ni next level...mda si mrefu wachina wata claim eneo lote la state house ya kenya ni lao. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…