Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

musoma town😂😂😂👇👇👇
44867FF1-4613-4614-95F9-CD30AF5C3B08.png
BC9CB6FF-9FFF-4B4D-8896-AED666A1BCB5.png
F29FAB3C-BE89-4849-9ABC-6B244567ED8E.png
 
i am curious to know maana so kwa kurauka huko aisee
if i were you i wouldn't ask about the driving distance from home to office , i would ask about what type of job that compels someone to walk up early in the morning.

hata hivyo inawezekana nimeulizwa swali na jobless au mtu asiye na experience ya kutosha kuhusu formal sector.

kwa mfano kuna watu ni kawaida kwao kurauka kutokana na nature ya majukumu yao.

watu hao ni banktallers, traffic polices, tv/radio morning show hosts, tv/radio morning news producers, public transport drivers, doctors, flight attendants, supermarket stockers, pilots etc.

kwa mfano mimi huwa nashangaa hapo nairobi cbd watu huwa wanalala saa ngapi cos mda wote wa usiku mpaka alfajiri mitaa ipo busy.

kwa kukuongezea tu, watu ambao wapo financially stable ndio huwai kuamka, masikini huchelewa kuamka.
 
That's touching.........good sermon.Nairobi ni jiji la 24/7......hatutambui usingizi
 
Back
Top Bottom