Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii hahahahaha,mimi naona tu posta hapo ambayo imepiga westland 10-0,hapo ujaweka kariakoo,upanga,kijitonyama etc.Nauache bangi kulinganisha vi-apartments vitatu vya westland na skyscrapers za posta.
***** dar yote ndio hii kwa picha alafu ishindane na Westlands,karioakoo ni hii uchafu iko nyuma ya posta
tapatalk_1539556907672.jpeg
tapatalk_1537469931410.jpeg
 
Acha ajichetue.anasema nairobi ina CBD nne.nadhani ndio jiji pekee duniani mpaka sasa lenye CBD nne.

Hata NY inayo moja tu,mkenya bana.
Ebu enda uka Google cbd nini alafu uje tujadili juu naona wewe uwezi saidika kichwa yako ni empty...ati newyork ina cbd moja? midtown na lower Manhattan?
tapatalk_1537469109226-2.gif
 
Acha ajichetue.anasema nairobi ina CBD nne.nadhani ndio jiji pekee duniani mpaka sasa lenye CBD nne.

Hata NY inayo moja tu,mkenya bana.
Ivi unajua metro Manila ina cbd ngapi?zaidi ya 5,guateng mayo ama Sandton sio cbd?
 
Jamani namfollow huyu bidada insta , Ila siku hizi anaboa na post zake za ulimbukeni na wazungu wake , mpaka mda mwingine natamani kabisa kum unfollow sema na Mimi kupenda umbea sasa mxieew .... yani kila siku ye post zake ni akina baba ojwang mara baba oyoyo wamefanya hvi hvi , anajichekesha kama tahira, sijui anaonaga sifa sana kuzaa na hao wazungu , yani ndo imekua topic kila siku , Mara ojwang kanipa nyumba, Mara baba yoyo ananipenda, halafu at the same time Ana date mtu mwingine , na huyo mwanaume atakua na moyo kwa kweli , au watakua wote mitambo kama sio yupo kimaslahi.

Akothee zaman alikua Anani inspire sana , especially story yake ya maisha mabovu aliyopitia, kunyanyaswa na wazungu , kudharauliwa mpaka kufikia maisha ya kifahari anayoishi now , akothee alikuaga dereva dala dala mombasa , ninachomkubali Mimi ni fighter Hana aibu kwenye kutafuta pesa, alikua mpaka dancer kwenye Ma club , naona ndo alipopata danga la kizungu bibie ndo kusafir nje na danga, mengine siri yake mpaka kuja kufanikiwa.

Ila siku hizi tena wazungu hao hao waliomuona fala na kumdhalilisha japokua alifaidika, maana kuna mzungu mwingine alibebaga mimba yake , mzungu akakataa akamwambia arudi kwao africa atampa kiasi chochote cha pesa anachotaka, bibie akaomba dolla million moja kama sikosei, ndo apo bibie akaanza ku invest kwenye biashara, uzuri alikua na akili za biashara, Ila ndo mapepe tu kama dada yetu shishi.

Akotheee atambue watu wamemfollow kwa ajili ya muziki wake , hayo mambo ya ku date na wazungu, kila siku kupost habar za akina ojwang na baba yoyoo it's just too much , yani akothee anaboa mpaka yeye mwenyewe anajua kuwa anaboa, yani bado Ana ulimbuken na wazungu , wazungu wake wenyewe kama wanaugua kifafa , vizee havina hata swagga , ashukuru tu Mungu sio Athman na yeye kaangukia

Yan huyu dada akiendelea hivi , hawez pata mtu wa kudate wala kuoa na team yake ya mpira, nani anaweza vumilia ujinga wa mwanamke Kama akothee, yan nilikua namuona wa maana sana , Ila siku hiz sijui karukwa akili au vip, jiran unaboa bana badilika
mchukueni tu.
ikiwezekana, tubadilishane na V-Money au Jo Kate
itapendeeza!!!
 
Dar Ni kubwa hata city centre yake ni hatar huo mji wenu umejaa vibanda (apartments) whatever you name it...
From ilala boma to kariakoo posta and Upanga to kijitonyama...
When you go to the places like Oysterbay,masaki, mikocheni, mbezi beach, bahari beach...
Sinza, mbweni,tegeta,kunduchi,Goba, salasala you won't regret visiting Dar city
 
Na muanze kuweka lami mjini........most of your hood roads are just earth
 
Dar Ni kubwa hata city centre yake ni hatar huo mji wenu umejaa vibanda (apartments) whatever you name it...
From ilala boma to kariakoo posta and Upanga to kijitonyama...
When you go to the places like Oysterbay,masaki, mikocheni, mbezi beach, bahari beach...
Sinza, mbweni,tegeta,kunduchi,Goba, salasala you won't regret visiting Dar city
Summary ya huu upumba wote
tapatalk_1537469931410.jpeg
tapatalk_1539556907672.jpeg
 
Back
Top Bottom