Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Medicine, veterinary Medicine, dentistry na architecture ni miaka 5

Law, engineering, nursing, pharmacy, land courses ni miaka 4

Humanities, education, social sciences ni miaka 3

Nikikaa sawa nitakutumia document ya TCU ambayo ina vyuo vyote, courses, duration, cutt off points, n.k.

[emoji2][emoji2][emoji2]ameishia kuguna tu.
 
Hiki kichekesho inamaana hawa Kenyans niliowaacha huko ni Monkeys sio hebu achen kujipa ujiko usio na maana.

Ninyi mnatuziz lugha ya Malkia tu na sio blah blah nyingine.
Niliwaambia mkitutusi 🐒 🐒 muwe mnajikumbusha kwamba nyie ni 🐒 🐒 vilaza. Narudia msije mkasahau
monkey vilaza.
No apologies
 
Niliwaambia mkitutusi [emoji205] [emoji205] muwe mnajikumbusha kwamba nyie ni [emoji205] [emoji205] vilaza. Narudia msije mkasahau
monkey vilaza.
No apologies
Failed state again [emoji16] [emoji16] [emoji16]
IMG-20181011-WA0028.jpg
 
Nakucheka ujinga!!!mtihani wa wa hesabu haujapatiwa majibu unaomba wa chemistry!!!

Hiyo tunaitaga papara.
Wewe ndiye uko na ujinga. Nchi yenu inajulikana Kuwa na watu wajinga na wavivu kupindukia. Elimu yenu ni duni ndio maana hamtambulikani .
Nchi ambazo zinawasomi wengi na mfumomzuri wa elimu
1.Zimbabwe
2.equatorial guinea
3.South Africa
4.KENYA
loathe me all you want. The truth always hurts.
Usininukuu tena
 
kuna nyang'au mmoja niliwahi kumgaragaza mwaka 2017 kuhusu mijadala mbalimbali ya azam tv, mijadala ilipomzidi uwezo akaamua kutoweka. hatimaye leo karejea.

inaonekana alikuwa anafatilia hii battle kimyakimya.

jamiiforum ni kama maji, lazima utayanywa.
 
Lazima kieleweke. Kwanza wakubali elimu yao ni duni ndio tuendelee. Wanaringa na PCB unaweza dhani ni kitu complicated. Kumbe ni visayansi wanatry ku glorify.Mwingine alisema Kenya hatufanyi practicals kama titration ya chem. Tuliifanya form 3.wao wanaifanya form 6
Hehehe, yaani ile Ordinary Volumetric analysis unaona ni titration?
My dear sio kila kitu uonekane unajua. I told you one day when you were hardly trying to say something about Surgery.
 
if we win in Nairobi tumeingia Afcon...........though our football team is not something to bank hopes on
In East Africa I see only Uganda, wengine wote ni Takataka,
We need to Learn from our neighbours Congo and Uganda.
 
University physics enzi hizo unit ni lbs. Roger muncaster. Tom duncan. Schrodinger eqtn. Waache matani na use of oxygen
Schrodinger equation hadi namaliza form six siijui[emoji23][emoji23]hv hua inahusu nn Ile? ?hatar tupu
 
Nairobi university hushindana na vyuo vya S.A among top 10.Hata vyuo vya naija havioni Nairobi. K.U ni no.30 while UDSM ni 32.sijui huko kwao wanasoma miaka mingapi chuo kikuu.
Chuo kikuu program nyingi Ni miaka 3
Chache za science ndio 4-5
 
Nimepata hiyo webometric ila rank zenyewe hazipo. UDSM niliiskia kwanza last year. Wakenya huwa hawajishughulishi na vyuo vya bongo. Hata sijawahi ona mkenya yeyote akitamani kusoma bongo.Kenyans would rather choose makerere in Uganda
Hakuna mtz mwenye timamu zake atakuja kusoma apo kenya university nikupoteza muda
 
Back
Top Bottom